Hodi jamani!!Baada ya kujivua gamba

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Nilikuwa likizo kijijini kwetu, umeme hakuna kule. Si kwa kuwa kuna mgao lah hasha kwani hawajawahi kuona hata balbu labda gropu ktk tochi na ktk taa za BAISKELI. Anyway, kimsingi nimeamua kujivua gamba na kuamua kuvaa magwanda. Nimehama CCM ya JK na Nape na kujiunga na wapiganaji.
Nimeamua kufanya hivi baada ya kufuatilia bajeti mbadala ya CDM na kugundua kuwa hawa jamaa ni wazee wa kazi. Najua wapo vibaraka wa CCM watakaoniponda kuwa mimi si chochote(kwa kuwa sina cheo ndani ya CCM) ila mtaji wa chama chchte cha siasa ni watu.
NATANGAZA RASMI: NIMEHAMIA CDM LEO TAREHE 16 JUNE 2011.
 
Karibu sana mkuu na uache magamba yako nje, ukituzingua kwa kheri na wasalimie kina vuvuzela master.
 
karibu na pole kwa giza ulilokuta kijijini kwenu ila hawatofautiani sana na wa town, giza giza tu
 
Back
Top Bottom