Hodi humu, nimesikia Mengi kuhusu hii forum

leftbrain

Member
Jan 28, 2011
16
1
Nilikua siifahamu hii site. Nimesikia kuna mambo mengi sana yana endelea hasa challenge mbalimbali za maisha na Serikali yetu hii tata. Naamini sijapitwa sana naombeni mnipokee wana jamii.
 
Karibu sana hujachelewa ndio kwanza tunaanza.............usisahau kupitia sheria na kanuni za forum yetu ili ufaidi vizuri zaidi.
 
Karibu Leftbrain.... baada ya kuangalia sifa zako

Left Brain :- Logical / Sequential / Rational /Analytical / Objective / Looks at parts

Tunakuhitaji sana michango yako
 
Jisikie uko nyumbani Mkuu. Karibu sana jamvini.
 
Have we met somewhere before? You sound very familiar, well don't worry I'll PM you just for a reminder. Ha ha ha, left..right..left..right..halt..stand at ease..leftbrain..about turn..welcome to JF!
 
Haha! Haya nadhani tutafamiana sana tu
 
Have we met somewhere before? You sound very familiar, well don't worry I'll PM you just for a reminder. Ha ha ha, left..right..left..right..halt..stand at ease..leftbrain..about turn..welcome to JF!

Wats the meanin of PM mkuu?
 
Umechelewa Mengi sana Mkuu. Humu ndiyo EPA, Dowans, MEREMETA nk zilifumuka.

Baadaye JF ikaanza kuwa kama Taarabu kwa kuandika habari za watu binafsi, ila hili limepigwa sana vita na kwa bahati nzuri ZEUTAMU imerudi tena hewani na wale wote wa ZEUTAMU wamerudi kwao......

JF kidogokidogo inaanza tena kurudi kwenye RELI yake na mambo yanaanza tena kuwaka moto.

Sijui itadumu kwa siku ngapi maana huko Egypt kunavyozidi kuwaka, vitu kama JF wanaanza kuwa ADUI namba moja wa baadhi ya watu hapa Tanzania.

Umechelewa sana? HAPANA. Kwenye maisha hakuna kuchelewa Mkuu. Karibu sana na soon utaanza kuelewa lugha za JF kama vile ukisoma Mirambo Street unaelewa ni Rostam Azziz, ukisoma Magogoni unaelewa...... ukisikia Mkwere/Muungwana basi elewa ni Kikwete na ukisikia WAPWA basi elewa ni kundi la Wapwa kikweli na huko wana Mchungaji wao Rev. Masanilo aliyepo KIFUNGO.

JF, ni dunia fulani kwa sasa ambayo wengi tunaishi humo ndani. Karibu sana.
 
Karibu mkuu. Kumbuka humu ni nyumbani kwa great thinkers,naelewa uliamua kusign up ukawa na akaunti jamvini natambua nawe ni great thinker. Karibu jamvini.
 
Umechelewa Mengi sana Mkuu. Humu ndiyo EPA, Dowans, MEREMETA nk zilifumuka.

Baadaye JF ikaanza kuwa kama Taarabu kwa kuandika habari za watu binafsi, ila hili limepigwa sana vita na kwa bahati nzuri ZEUTAMU imerudi tena hewani na wale wote wa ZEUTAMU wamerudi kwao......

JF kidogokidogo inaanza tena kurudi kwenye RELI yake na mambo yanaanza tena kuwaka moto.

Sijui itadumu kwa siku ngapi maana huko Egypt kunavyozidi kuwaka, vitu kama JF wanaanza kuwa ADUI namba moja wa baadhi ya watu hapa Tanzania.

Umechelewa sana? HAPANA. Kwenye maisha hakuna kuchelewa Mkuu. Karibu sana na soon utaanza kuelewa lugha za JF kama vile ukisoma Mirambo Street unaelewa ni Rostam Azziz, ukisoma Magogoni unaelewa...... ukisikia Mkwere/Muungwana basi elewa ni Kikwete na ukisikia WAPWA basi elewa ni kundi la Wapwa kikweli na huko wana Mchungaji wao Rev. Masanilo aliyepo KIFUNGO.

JF, ni dunia fulani kwa sasa ambayo wengi tunaishi humo ndani. Karibu sana.

Sijachelewa maisha mkuu, ila nadhani kama ningeijua hii site miaka miwili nyuma ingenisaidia kuelewa mambo mengi zaidi from great thinkers. Asante sana kwa kunipa maana ya hayo maneno.
 
Kweli umekosa mijadala mingi lakini ipo mingi tu inaendelea.
 
Nilikua siifahamu hii site. Nimesikia kuna mambo mengi sana yana endelea hasa challenge mbalimbali za maisha na Serikali yetu hii tata. Naamini sijapitwa sana naombeni mnipokee wana jamii.

leftbrain.karibu sana. hujachelewa
 
Back
Top Bottom