Hodi humu ndani

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,600
1,015
hey everybody in the house of great thinkers.Ni furaha kwangu kuwa mmoja wenu rasmi kwani nimekua mfuatiliaji mzuri wa forum hii kwa muda mrefu na kufaidika kwa maoni na threads zenu mbalimbali hivyo nami nimeamua nijiunge nanyi ili nami niwe naweza kuleta kwenu maoni na mawazo yangu kwa lengo la kusaidiana,elimishana na kupeana changamoto za kimaisha.love you all.thanx.
 
hey everybody in the house of great thinkers.ni furaha kwangu kuwa mmoja wenu rasmi kwani nimekua mfuatiliaji mzuri wa forum hii kwa muda mrefu na kufaidika kwa maoni na threads zenu mbalimbali hivyo nami nimeamua nijiunge nanyi ili nami niwe naweza kuleta kwenu maoni na mawazo yangu kwa lengo la kusaidiana,elimishana na kupeana changamoto za kimaisha.love you all.thanx.

karibu sana jisikie uko nyumbani
 
karibu sana.....
ukifeel upweke humu nakukaribisha pm.
waweza niuliza chochote.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom