Hodi Hodi

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Jambo wana JF. Naombeni mnikaribishe jamani ila naomba niwaeleze mimi sifungamani na upande wowote. Kwenye jukwaa la siasa sina chama kwahiyo naangalia hoja na mwenendo. Chadema wakifanya vibaya nawalipua, CCM wakikaa vibaya nawalipua. Sina interest na chama chochote. Maisha yangu yanasonga bila ya kushabikia chama.

Asanteni
 
Karibu mkubwa nadhani wewe sio jembe ila ni sululu inaonekana unataka kukokoloa mawe ya mafisadi.
 
karibu jamvini, wengine tuliingia humu kimya kimya na life linasonga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom