Hodi Hodi..

Karibu sana hujachelewa ndiyo kwanza kumekucha. Leta mapya ila upitie kidogo sheria za forum hii kabla hujaanza kuchangia. Otherwise jisikie upo na wataalam wa kila fan hapa.!!!
 
Karibu sana. nategemea wewe utakuwa mtu muungwana, mwenye kutumia lugha nzuri katika post zako. Jiepushe kuwa kama wale waliojiunga kwa ajili ya kuja kutoa lugha zza kibaguzi humu, esp za kidini ambazo zimekuwa zinatupa kero wastaarabu katika siku za hivi karibuni. Karibu sana Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom