Hodi hodi wenyeji

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,610
10,663
Nimekua maranyingi natembelea blog hii imenivutia namimi nimeona ni vema nikajiunga nipatekutoa mchango wangu
 
Nimekua maranyingi natombelea blog hii imenivutia namimi nimeona ni vema nikajiunga nipatekutoa mchango wangu

Naomba kukurekebisha kidogo mtu wangu, lakini hii siyo "Blog" ni "forum"...
Anyway, Karibu sana!!!
 
karib ila jaribu kurekebisha neno la tatu toka mwanzo natumaini hukumaanisha neno lielezacho. Nona umeingia na Avatar ushahagua hasa kuonesha msisitizo!
 
Nimekua maranyingi natembelea blog hii imenivutia namimi nimeona ni vema nikajiunga nipatekutoa mchango wangu
karibu sana jisikie uko mahari pazuri na salama kwa kupata elimu, bur'dan, n.k
busara, hekima na uvumilivu viwe msaada sana kwako
 
Thanx nashukuruni sana ila samahani kwa typing error, by the way preta i like your avatar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom