..Hodi hodi WanaJf...

khasanii_kharimu

New Member
Jun 5, 2012
4
0
.......Bwana asifiwe..
.....Asalaam Alykhum..
...Tumsifu yesu kristo
...kondoo bwana.
Mambo zenu....
Kwa ujumla wenu Wote.
 
karibu mwaya, na salamu zote tumeitika! umekuja muda mbaya usiku twenda lala, panga nguo zako kabatini, kisha zima taa!
 
Back
Top Bottom