Hodi hodi wana jf

papaa masikini

Senior Member
Mar 5, 2011
176
69
Hello wanajamii!

Hodi hodi wana jamii forums, mimi ni mgeni wenu nimevutiwa sana na maissues yanayojiri ndani, naomba support yenu wakuu!

Nawashukuru
 
Oooohh Papa masikini karibu sana mkuu, pita ndani na uanze kumwaga hizo issues.....
 
Pamoja,wakuu...naelekea sehemu mmoja hivi,inaitwa LOLIYONDO,ambako naskia kuna mchungaji ambaye,mwenyezi mungu amemwonyesha tiba,ya magonjwa yote yanayotisha chini ya jua!?
Nikifika huko nami nikahakikisha,licha yakuahadhiwa na watu kibao,ntakuwa na mengi yakushare na wana JF!!
 
Karibu sana papaa maskini.

Nakutakia safari njema na ukifika huko wasalimie wote. Mengi tunasubiri kusikia toka kwako.Ukipita hapo Arusha usisahau kuwasalimia wana JF wa hapo A town. Usisahau zawadi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom