Hodi hodi wana-jamvi

MwanaDsm

New Member
Nov 28, 2011
1
0
Habari ndg zanguni!
Mimi ni ndg yenu, ndio kwanza nimejiunga na wanajamvi baada ya kuwa msomaji tu cku zote, nawaomba mnipokee na kuniongoza pindi mtakapoona nimepotoka, hakuna aliyekamilika!!!!
Thanx!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom