Hodi hodi wana jamii forums


Kumbuka ku`maintain hiyo gender, usije ukaamka siku ingine na kusema ni `he` mwaya`...watu wa humu wana mikumbukumbu kama mdudu mmoja kwetu tunamwita "nchungu" ...huyu anakojoaga sehemu moja tu katika pori, hata akiwa kilomita ngapi za umbali toka mahlai hapo, lazima arudi kukojoa hapohapo tu!...lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom