Hodi hodi wakubwa

Rock City

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,266
501
Jamani mie ndo nazaliwa JF, naomba ulezi wenu na mwongozo mwema.
Karibuni kwangu 'rock city', naimani mnaelewa nimaanishacho....Mwanza.
Mnipokee kwa kheri.
 
wewe ni ke au me?
Niko hapa ppf plaza pitia gift za wageni
uje la lebo nihakikisha kweli wewe ni mpya.
 
...karibu JF...karibu kwenye timu ya wapambanaji aka CDM...karibu tuikomboe Tanganyika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom