Hodi hodi ukumbini!

Makemba

Member
Nov 29, 2010
25
2
Kwa heshima na taadhima nabisha hod jamvini,nawasalimia kwa heshima tulofunzwa na wahenga wetu wakubwa kwa wadogo,wake kwa waume;naomba mnipokee...

Nimekuwa nikifuatilia takriban miezi minne tangu wakati wa kampeni mpaka uchaguzi umeisha nimeona nami nijimwage ili niweze kuchangia kwa kadiri ya uwezo wangu,Najiunga jamvi la magwiji nami nishirikiane nao.

Nipokeeni wakulu!:hug:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom