Hodi Hodi Najitambulisha kwenu leo.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Ntanguliza shukurani za dhati kwa aliyetengeneza binadamu bila shaka ni mwenyezi mungu na muweza ya yote,
Pili na mshukuru aliyempa mwongozo wakupata elimu na kutengeneza chombo kama hiki na mungu amzidishie.
Mwisho nawashukuruni nyote mliopo kwenye huu mjengo ndani kwani bila nyinyi na huu mjengo utakuwa nikazi bure hivyo uwepo wenu ni ufansi wa chombo hiki!!
Kadri tunavyoenda na imani nitajifunza na kuelewa matumizi ya chombo hiki.

Kwa kuwa leo ni siku ya wa BABA na waombea siku njema wote wale wanaoitwa wababa wa majukumu siyo kuitwa baba na majukumu unayakimbia.
Asanteni.
 
Kivipi mkuu nyumbani kwangu au kuja duniani??

ha ha ha aaaah!! Mkuu Shevchenko, mara mojamoja wageni huwa wanajitambulisha na sehemu wanazotokea, mfano mimi najulikana nipo Sumbawanga..............wewe ni Ukraine??
 
Last edited by a moderator:
Asanteni lakini naona mna madaraja je haya madaraja yanamaanisha nini??mimi mgenimaeneo haya!!
 
Back
Top Bottom