hodi hodi naingia

STALLEY

JF-Expert Member
May 5, 2012
618
206
hi kwa wanajamii forums wote mi ni memba mpya humu naitwa mjuzi wa mambo.lengo la kujiunga humu ni kujaribu kuongeza ujuzi wangu na kutoa ujuzi wangu kwa wengine naomba ushirikiano wenu
 
karibu sana, hapa ni kichwa kwa kwenda mbele, uzalendo wa nchi yetu kwanza!
 
Karibu sana tunategemea kupata maujuzi mengi kutoka kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom