Hodi hodi naingia!

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,600
Hodi hodi naingia,
Humu ndani nikishangilia,
Natumai mtanipokea,
Na sheria nielezea,
Nimechoka kuchungulia,
Bila chochote kuchangia.

Sasa natulia,
Kukaribishwa nasubiria,
Nisije nikachangia,
Lisipohusika jukwaa.
 
karibu sana, soma kwa makini sheria na kanuni za humu ndani, usisahau kwenda kupiga hodi jukwaa la lugha!
 
Hodi hodi naingia,
Humu ndani nikishangilia,
Natumai mtanipokea,
Na sheria nielezea,
Nimechoka kuchungulia,
Bila chochote kuchangia.

Sasa natulia,
Kukaribishwa nasubiria,
Nisije nikachangia,
Lisipohusika jukwaa.

Malenga weye?Hongera krb.
 
Back
Top Bottom