HODI HODI MZUMBE UNIVERSITY..... wadau, nishaurini nisome Masters gani!!!! CHONDE WAKUU!!!'"""

MSC COOKERY AND HOTEL MANAGEMENT! 30 yrs na hujui unataka nini au utatokaje? Mwee! Wenzako wanatoka bachelor wanajua masterz watasomea nini ati!
 
Duh... Mkuu hadi unamaliza bachelor haukuwa na malengo ya baadaye ... Wengine sisi toka advance tulitengeneza formula ya life sasa ni ku pachika numbers tu.

Soma unachoweza ... Usikimbilie Lodi ambazo kichwa hakiwezi
 
Haya yote ni matatizo ya umaskini, umaskini mbaya sana na sana, kiukweli Tanzania hakuna chuo cha kusoma masters au elimu yoyote ya juu ukaelimika kiukweli zaidi ya kupata cheti tu, ndo maana kina kelvin twisa watoto wa mzizima na then university us wanagombaniwa na kulipwa mamilioni wakat kuna watu wana hadi phd za bongo walala hoi,

Ukubali ukatae lakini ukweli ndo huu bila ya kwenda kuiosha elimu yako dunia ya kwanza bado haujaelimika hata uwe profesa,,, ni bora nijichange hata 50 years kutafuta ada na chance kwenye shule za kuelewa kuliko kupeleka ada yangu mzumbe au udsm, labda nisome bure but kwa kulipa my own money never
 
Wewe huijui mzumbe nini? nani kasema ukiwa na lower second unaweza kuingia mzumbe? Waulize wanaosoma UDSM kama hawakutangulia kukosa Mzumbe.

Kwa ushauri wangu mtoa mada akasome MSc Accounting & Finance lakini ahakikishe ana GPA ya kuanzia 3.7 kupanda vinginevyo akikosa asilalamike. Swala la GPA alizingatie bila ya kuangalia propaganda za baadhi ya watu maana Mzumbe bila GPA ya uhakika ataisikia bombani kwani competition ni kubwa.
Hii ni kweli kabisa I actually believe kuwa Mzumbe iko higher UDSM imebaki jina tu
 
Haya yote ni matatizo ya umaskini, umaskini mbaya sana na sana, kiukweli Tanzania hakuna chuo cha kusoma masters au elimu yoyote ya juu ukaelimika kiukweli zaidi ya kupata cheti tu, ndo maana kina kelvin twisa watoto wa mzizima na then university us wanagombaniwa na kulipwa mamilioni wakat kuna watu wana hadi phd za bongo walala hoi,

Ukubali ukatae lakini ukweli ndo huu bila ya kwenda kuiosha elimu yako dunia ya kwanza bado haujaelimika hata uwe profesa,,, ni bora nijichange hata 50 years kutafuta ada na chance kwenye shule za kuelewa kuliko kupeleka ada yangu mzumbe au udsm, labda nisome bure but kwa kulipa my own money never
Hii inategemea kuanzia ground level education exposure, malezi na mazingira.
 
we ndio zezeta la mazezeta.
Huna haja ya kutoka povu, na kucrash, kila mtu yuko entitled to their opinions, views, and perspective kama uonavyo UDSM ni beta kwa sababu zako mwenyewe, nami ndivyo nionavyo Mzumbe ni better! Na nilichofanya ni kushare tu views zangu
 
thanks, lakini coz nyingi ama zote nimesoma tayari..... cpendi kuridia yaleyale....... nataka new skills, loooh!"!""

we ndio wale wa o level wanasoma masomo ya biashara, A level wanagonga PCB, chuo wanachukua degree ya PPM na level ya masters wanakuwa washapoteza mwelekeo.
Ni vizuri usome masters ya kitu ambacho tayari una knowledge nacho ili uweze kukimaster vizuri. Kama unahitaji skills mpya anza tangu awali. Huku kudiverge ndio kunachangia watu tusiwe competent hata makazini.
 
Back
Top Bottom