HODI HODI MZUMBE UNIVERSITY..... wadau, nishaurini nisome Masters gani!!!! CHONDE WAKUU!!!'"""

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Shikamooni wakubwa!!! lakini mi niko at 30's yrs!!!

Jamani nna B.A.ACCOUNTING AND FINANCE..... naomba msaada wenu nishauri masters mzuri, iliyosokoni nikasome.....

MBA(CM), MSC. ACCOUNTING & FINANCE, MSC. PROCUREMENT, MSC. ECONOMICS & FINANCE FOR DEVELOPMENT(hii nimeipenda lakini hayo maneno ya mwisho FOR DEVRLOPMENT yananipa kichefuchefu)

nasubir maoni yenu wakuu..... hizo yoyote naweza kufit....
 
Naomba kukupa tahadhari kuwa usisome kitu kwa kuwa umeambiwa na fulani. soma kwakuwa hicho kitu unakipenda na kwanini unakipenda unajua wewe. Definition ya kozi nzuri au yenye soko nikikupa humu nitakupa kulingana na ninavyojua mimi siyo kama unavyofahamu wewe. Nakushangaa unamiaka 30 halafu bado hauwezi kuwa na msimamo kuwa unataka nini au wewe unataka kuwa nani! ulivyochagua kusoma digrii ya kwanza ulikuwa na sababu gani?je, hiyo au hizo sababu sasa hazipo tena?je, unataka kubadilisha field, kwa nini, na unataka nini? maswali hayo yanaweza kukusaidia kupata kitu cha kusoma.

Watanzania wengi tunasoma bila malengo ndo maana hatufanikiwi. Mtu anasoma Eng.,then PGDE, then MBA ... sasa hapo wewe unakuwa mtaalamu katika fani gani?tukuita eng.., au Mwl>>< au accountant?..

Ni ushauritu, usinishambulie tafadhali ila kama ni kwa hoja karibu. naogopa wengi humu ni waporomoshaji wa matusi badala ya hoja.
 
Kutegemea na kazi yako ya sasa ....nakushauri soma MSC. ACCOUNTING & FINANCE, ila pia jitahidi sana uje upate accia kama uko nondo pambana na cpa ya hapa tz!!zitakuja kukulinda na kukutoa big time!ushauri wangu tu!!
 
C ukasome udsm mkuu,au bachelor yako haina upper second?
 
thanks, lakini coz nyingi ama zote nimesoma tayari..... cpendi kuridia yaleyale....... nataka new skills, loooh!"!""
 
Suala la masomo unayotaka kusoma huwa huendana na mahitaji yako ktk malengo yako.(KWANZA ANGALI MALENGO YAKO NDO UCHAGUE MASOMA AMBAYO YATAKIDHI MAHITAJI YA MALENGO YAKO).
 
pale UDSM masters yao ya MBA wanachukua hadi GPA YA 2.6...... fungua intake hii uangalie!""""

ctaki kabisa UDSM, CKIPEND HIKI CHUO!!!!""'''

Ndio maana ukachagua Mzumbe sababu kichwa yako haifit UDSM ungejua wameshusha hiyo GPA wakijua wataaply ila hawatavuka first semister maana wengi vichwa havina Hesabu (QM) inawakimbiza alafu walivyo business oriented supplimentary zao ni mpaka ufike mwisho unakuwa umelipa at least 3QRT ya ada.

Kwa akili yako nenda Mzumbe tu utamaliza
 
senk yu
......
sasa bachelor nimetaabika na masters nayo, looooohhhhhh!!!"""""" watu tunataka mapumziko college!!!!
 
Fanya Msc Accounting and Finance Mzumbe, ni unique na nzuri sana
 
senk yu
......
sasa bachelor nimetaabika na masters nayo, looooohhhhhh!!!"""""" watu tunataka mapumziko college!!!!

Ndo walewale mteremko dot com ambao mnasababisha uchumi wa nchi kushuka kutokana na utendaji finyu na uliojaa woga yote hii ni kwasababu hutaki kupata changamoto ya ubongo wako. Sasa wewe ni kilaza kwa ujumla unataka gamba la Master degree well Mzumbe you can get hata usipojiregister au hata usipokuwa na background ya degree ya kwanza nina ushahidi huo.

Wallahi ningekuwa sekta ya kazi na ajira watu kama nyie mngetafuta pa kukimbilia mnadhalilisha wasomi na kushusha hadhi ya nchi.
 
Nakushauri uende Open kama unataka kwa design yako..Mzumbe tatizo wanafunzi ni wengi sana kiasi haindani na miundombinu iliyopo pale town. Labrary ya watu 50 wanafunzi intake 1200..haingii akilini..
 
Nakushauri uende Open kama unataka kwa design yako..Mzumbe tatizo wanafunzi ni wengi sana kiasi haindani na miundombinu iliyopo pale town. Labrary ya watu 50 wanafunzi intake 1200..haingii akilini..

haaaaa.... nikikosa Mzumbe ni UDOM..
. haaaaaaaa
 
Ila kwel,kwa kichwa yako ilivyo,bora uende mzumbe tu,mziki wa udsm hutauweza kabisa.
 
C ukasome udsm mkuu,au bachelor yako haina upper second?
Wewe huijui mzumbe nini? nani kasema ukiwa na lower second unaweza kuingia mzumbe? Waulize wanaosoma UDSM kama hawakutangulia kukosa Mzumbe.

Kwa ushauri wangu mtoa mada akasome MSc Accounting & Finance lakini ahakikishe ana GPA ya kuanzia 3.7 kupanda vinginevyo akikosa asilalamike. Swala la GPA alizingatie bila ya kuangalia propaganda za baadhi ya watu maana Mzumbe bila GPA ya uhakika ataisikia bombani kwani competition ni kubwa.
 
Kaka soma unachokiweza.....usifate mkumbo mimi nakumbuka wakati nipo school kuna watu walidanganyika ukisoma bicom utatoka fasta ila nashangaa sasa wamemaliza bachelor zao wanasajili line mitaani fanya unachojiskia
 
ahaaa...rudi form5 ukaanze PCB uje usome ANIMAL SCIENCE...:D ...

Back
Top Bottom