M mdati Member Nov 7, 2011 8 1 Nov 7, 2011 #1 Duu!,JF mko juu nafikiri nami mtanipokea ili tupeane suport.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Nov 7, 2011 #2 Karibu sana ila chumbani subiri kwanza kuna taratibu za namna ya kuingia huko.
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Nov 7, 2011 #4 karibu ila chumbani huwezi ingia subiri hapo sebuleni. Nalog off
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,296 Nov 8, 2011 #6 STOP; Chumbani tupo wakubwa zako tunatabaruku!
Cantalisia JF-Expert Member Sep 26, 2011 5,222 2,925 Nov 9, 2011 #10 kaa kibarazani hapo kwanza,tupo chumbani na baba yako!