DamasKanyabwoya
New Member
- Mar 10, 2010
- 1
- 0
Naitwa Damas Kanyabwoya ni mwandishi wa The Citizen (Dar es Salaam based newspaper).
Mimi ni member mpya wa jamiiforums, nimejiunga baada ya kuvutiwa na busara nyingi na analysis za kiutu-uzima zinazofanys humu.
Ila kuna kitu kimoja nimeki-observe-matumizi ya majina ya watu kama 'username' . Kuna mtu humu ndanu username yake ni "Kanyabwoya". Ni vigumu kuw na copyright ya jina lakini kwa nature ya jina hili (Kanyabwoya) na jinsi lilivyoanza ninaweza kusema kuwa hakuna mtu mwenye surname ya "Kanyabwoya" ambaye sina uhusiano naye kiukoo. Kule kwetu majina ya ukoo sion common sana kama eg uchagani au uhayani ambako unaweza kukuta a thousands Kimario etc.
Ninaelewa kuwa watue wengi huwa wanatumia "Kanyabwoya" wakimaanisha "Kanyaboya", ile aina ya utapeli ktka ununuzi wa viatu Kariakoo. Ila tu Smatta siku moja ktka kujibu hoja ya "kanyabwoya" see (www.jamiiforums.com/.../46911-hivi-ni-kweli-kenya-inaonewa-mipakani-3.html) alim refer "Kanyabwoya" kama Damas Kanyabwoya (thereby implicating me as the user of the two names for I have never heard any other person being called by that name)
Nataka tu kuweka bayana suala hilo ili nisijekuhusishwa na maoni yasiyokuwa yangu (ambayo sijayatoa mimi). User name yangu ni "DamasKanyabwoya" kama jina langu lilivyo lakini naomba nisiwe confused na mtu anayetumia username ya "Kanyabwoya" kama smatta alivyo fanya.
ahsante