Hodi hodi humu

mpokeeni bwana

huyu?
attachment.php
 
rocky bana mbona wa ukweli huyo? mbona wewe hujaenda kutetea nyumba ndogo bwana

Mhhh hana hata chembe ya mtu wa uweli tena ni nuksi tuu hapa jamvini bana

BTW nimeogopa bana maana ningekuwa upande wa RR wanaume wengine humu wangenichana chana bure
 
ashadii wamemkaba kweli bana kumbe mnapenda nyumba ndogo eeeh loh yaani kuna mtu ndo nilikuwa nakubali proposal yake leo kwa ile thread nimenyala loh??????????wewe una nafasi ya small house?
 
Ndo maana nikasema mi hii big house bado ni issue ndo nikaongeze tena na small house si najitafutia matatizo na BP na pressure na kisukari hapo hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom