Hodi hodi! humu ndani..!

Haven

Senior Member
Jun 27, 2012
128
62
Wakuu wa jukwaa heshima kwenu...naomba kukaribia humu, akina Kaunga, Kongosho, Preta The Boss, Babu Dark City na wengineo mnikaribishe.. lol nahisi nshakaribishwa..Asanteni.

Napenda kutumia nafasi hii kutoa shukrani kwenu wadau wa MMU, kwa uchache tu Kaunga unanivutia sana jinsi unavyochangia mada, Kongosho naipenda Avatar yako..the Boss your such a Gentleman, but pls usiuchakachue huu uzi wangu wa utambulisho, Babu Dc busara zako ni urithi kwa vizazi. Kwaajili ya ugeni wacha niishie hapa.

:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Last edited by a moderator:
Yaan na members unawajua leo hiihii,,,au ulishawah kuwa member ukala ban???
Karibu ila Dr Ulimboka anaumwa
 
Bajabiri hayo ya ban achana nayo.....hee jamani jamani Dr. Ulimboka amepigwa, nimeona picha zake loh! kwakweli si sawa hata kidogo! hao watu sijui ni polisi wachukuliwe hatua za kisheria, namuombea Mungu amprejeshee afya
 
Wakuu wa jukwaa heshima kwenu...naomba kukaribia humu, akina Kaunga, Kongosho, Preta The Boss, Babu Dark City na wengineo mnikaribishe.. lol nahisi nshakaribishwa..Asanteni.

Napenda kutumia nafasi hii kutoa shukrani kwenu wadau wa MMU, kwa uchache tu Kaunga unanivutia sana jinsi unavyochangia mada, Kongosho naipenda Avatar yako..the Boss your such a Gentleman, but pls usiuchakachue huu uzi wangu wa utambulisho, Babu Dc busara zako ni urithi kwa vizazi. Kwaajili ya ugeni wacha niishie hapa.

:A S-rose::A S-rose::A S-rose:

karibu sana tutaendelea kukujua
 
Karibu Haven tudumishe mapenzi, tujenge mahusiano na tupinge urafiki (si ku go against, enzi zetu tulivyo kuwa wadogo tulikuwa tunapinga na kupingulua urafiki).

You look familiar, karibu tukuintrodyuzi kwa maungamo na Kaizer. LOL
 
Last edited by a moderator:
Mmh mbona unaonekana kama mwenyeji vile?!?anyway karibu mpaka chumbani!
 
Karibu Haven tudumishe mapenzi, tujenge mahusiano na tupinge urafiki (si ku go against, enzi zetu tulivyo kuwa wadogo tulikuwa tunapinga na kupingulua urafiki).

You look familiar, karibu tukuintrodyuzi kwa maungamo na Kaizer. LOL

Asante Kaunga mwaya, na wewe kuanzia leo napinga urafiki na wewe pasipo kupingulua. Sasa hebu niambie jografia ya humu maana naambiwa kuna ukaguzi mara maungamo ndo inakuwaje?? :confused2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom