hodi hodi hodi wakubwa.........

karib sana shemasi, huyu niliemquote anaitwa keren happuch, ukikosea spelling za jina lake tu unapigwa ban hapa JF, jitahidi. karib sana

Klorokwin...siku hizi unajitahidi kweli kukaribisha wageni...... au..????!!!!

Mzima lakini wewe?
 
karib sana shemasi, huyu niliemquote anaitwa keren happuch, ukikosea spelling za jina lake tu unapigwa ban hapa JF, jitahidi. karib sana

asante klorokwini.nitajitahidi sana kutokosea jina hili.
naomba nisilitaje nikakosea leo hii hii.
 
tumetakiwa kufunga kulingana na maandiko.nimefunga na nawatia shime watu wa Mungu tufunge
 
Klorokwin...siku hizi unajitahidi kweli kukaribisha wageni...... au..????!!!!

Mzima lakini wewe?
mimi niko mswano, haswa nilipoona post yako. hehehe hii kukaribisha wageni ni kwa moyo wa dhati kabisa wala hakuna ajenda ya siri. na wewe nakukaribisha PM upate baraka za leo. karib sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom