hodi hodi! chitchat jameni.

markj

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
1,778
685
ukiona mwafrica anajichubua basi anajaribu kuukana uafrica! sasa mkiona na mimi humu nimepiga hodi, mjue nimepakimbia jukwaa la siasa! hali zenyu banaaa
 
Huku hakuna boycott ! Sijui ma'Strike sabotage ! Usije ukajaribu kutufundisha migomo! Mara kuulizia change ya kashfa ya Rada!
Huku tulishatajirikaga zamani !
Wala hakuna anaefikiria kuuza Twiga huku ! Au kuchukua miti ya Sao Hill kisha kuizungushia Mombasa na kuirudisha tena Tz na kuwauzia Tanesco kwa mintarafu eti imetoka bondeni , hapa hakunaga masafidi !
 
:biggrin1: nimeipenda hii..huku hakuna stress hata ukiibiwa demu wako hapa wala ulalamiki sana sana mnapongezana ndio maana ukishakaa kwa mda hapa utagundua kila mtu ana zaidi ya mpenzi mmoja na hakuna ugomvi..yani hapa in short ni kama uko peponi
 
Huku hakuna boycott ! Sijui ma'Strike sabotage ! Usije ukajaribu kutufundisha migomo! Mara kuulizia change ya kashfa ya Rada!
Huku tulishatajirikaga zamani !
Wala hakuna anaefikiria kuuza Twiga huku ! Au kuchukua miti ya Sao Hill kisha kuizungushia Mombasa na kuirudisha tena Tz na kuwauzia Tanesco kwa mintarafu eti imetoka bondeni , hapa hakunaga masafidi !

mwambie muelezee ajue!
 
Uamuzi wa busara sana uliochukua,na siku zote nawashangaa wanaohamaki kwa kujadili siasa wakati wanasiasa wenyewe ni wasiri utafikiri wafuga Fisi..
 
Makubwaaa Madame B siku hizi hubby wake ni ruttashobolwa bila msajili wa ndoa na talaka Bishanga kuwa na taarifa?

Huyn bepari la Kihaya Bishanga nilimweleza siku nyingi akadhani namtania.
Labda aje hapa uwanjani ndio ataamini.
The secretary ila waweza kumwambia kisirisiri ili wengine kama mathematics wasisikie maana atakunywa sumu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom