Hodi hodi Arusha

Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
883
73
Hamu ya kuwepo Arusha ni kubwa kiasi ambacho masaa naona kama hayaendi na usiku unakuwa mrefu. lakini Mungu akipenda nitakuwa Tz sunday Dar, Monday Morogoro Tuesday na masiku kadhaa hapo A town, PJ, sahara voice,etc kuleni msimalize mnibakizie.
 
ha ha....karibu sana.....ni jana tu tulikukumbuka.....u no wora I min.....
we can't wait
 
Hamu ya kuwepo Arusha ni kubwa kiasi ambacho masaa naona kama hayaendi na usiku unakuwa mrefu. lakini Mungu akipenda nitakuwa Tz sunday Dar, Monday Morogoro Tuesday na masiku kadhaa hapo A town, PJ, sahara voice,etc kuleni msimalize mnibakizie.
Kiongozi wetu,
Karibu sana kiongozi wetu...
Ni kweli kabisa jana tulikuwa maeneo fulani ya kujidai tukakukumbuka sana, na bahati nzuri sana SaharaVoice katuambia kuwa uko safarini waja!
Tunakutakia kila heri katika safari yako na cha maana zaidi ufike salama na tuonane!
Lakini pole sana kwa masahibu ya barabarani yaliyokupata, nadhani umeyamaliza salama!
Tuwasiliane ukishawasili kiongozi wetu.
 
Asante PJ namtanguliza Mungu, kwa kibali chake nitafika tuonane panapo majaliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom