Hodi....Gwanda au Gamba?

Cathode Rays

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,738
1,492
Jamani nimechoka kupiga chabo na nimeamua kujiunga humu ndani

Nimesoma sana humu mnazungumzia magamba na magandwa. Kama magreat thinker wenye hoja zilizonona naombeni mwongozo wenu, niwe gamba au gwanda humu ndani?

Kwa ushauri wenu nita-analyze na kuamua je jukwaani nivae gamba au nivae gwanda au kuwa neutral

Athanteni kwa ukarimu wenu
 
Jf haina ugamba au ugwanda. Tafadhali tengua kauli yako kabla ya haujakaribishwa.
 
Jf haina ugamba au ugwanda. Tafadhali tengua kauli yako kabla ya haujakaribishwa.

Kweli? Mbona kule nje wakati nasoma naona maneno "wewe gamba" mara "wewe gwanda" , sasa ukisema hakuna unataka mwenzako nibaki mtupu nisijivalie moja wapo kati ya hayo??

Itabidi nikuweke kwenye CRO
 
mbona wanakuzungusha.ebu karibu pipoooz lakini kama hujatumwa na nape kuchafua hali ya hewa.
 
Kuna watu humu wana id za magwanda na magamba na kuna wakati huwa wanajijibu wenyewe!
 
Ahsante sana, nilizisoma hizo ....kwa kweli mimi sio mvivu wa kusoma

Hebu nisaidie hiyo sura yako hapo unapitia process gani ili kuipata?

Ahsante....ntashukuru kama hutajali kunipa maelekezo ya kufanya kuweka hivyo vimaandishi hapo chini maana natafuta namna siipati

I will appreciate

Karibu sana mkuu.......

Ukibofya mahali pameandikiwa settings..............basi utakutana na vitu vinavyoweza kukusaidia kuweka sura yako na vimaandishi vya mwisho. All the best.
 
Karibu sana mkuu.......

Ukibofya mahali pameandikiwa settings..............basi utakutana na vitu vinavyoweza kukusaidia kuweka sura yako na vimaandishi vya mwisho. All the best.

Ahsante sana kwa msaada wako....ngoja nika-test
 
Karibu sana mkuu.......

Ukibofya mahali pameandikiwa settings..............basi utakutana na vitu vinavyoweza kukusaidia kuweka sura yako na vimaandishi vya mwisho. All the best.

Ahsaanteee sanaaaanaaaa, nimefanikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom