Unataka kinywaji gani??Nipo ndani tayari, but no vinywaji,
ha ha haaaah!! Ngoja nimuone muhusika akuletee....!!Asante kwa ghahawa, but kile kinywaji cha majani, naweza kupata:gossip: ?
Humu vipo vya ukweli usihofu....okay, nasubiria, mwambie muhusika aninyongee cha ukweli:majani7: