Hlssf yafunika 2012/2013 loan

BONANJE

Member
Jul 13, 2012
34
3
Jamaa nimewakubali,wametumia muda mchache kupanga majina na mikopo kwa wanaokizi vigezo ukilinganisha na heslb,Vile vile kumbe kuna kariba kadogo tu,kwa mliokosa heslb changamkeni muda bado.:lol:
 
promo only!
 
Wakuu tunaomba exactly link ya wanachuo waliopata mkopo kupitia hlssf.naona mnaisifia sana lakini mimi bado sijaona hayo majina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom