Hizi zinazoitwa smart phone ndivyo zilivyo?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
sijui kwa wengine kama mnapata hii adha...

Nina kinokia changu, E72...mara nyingi nikiwa active katika packed data huwa sipatikani hewani. Nimehakikisha hili baada ya kujaribu mara kadhaa kuweka line katika simu ya kawaida.
Je tatizo laweza kuwa nini? Ndivyo simu za Nokia zzilivyo au ni hii yangu tu?
Kama tatizo ni simu, ni aina gani tena ya smartphone isiyo na matatizo ya network?

Naombeni msaada wenu ili nisije fanya kosa tena katika next purchase.
 
Nokia N70 haisumbui kwa network. Unapokea cm halafu unaendele kusurf km kawa
 
duh e72 sawa una kiwanja kariakoo halafu n70 kiwanja tandale kwa mtogoleeeee.

Hiyo packet data ni edge au 3g?
 
Back
Top Bottom