Hizi zinaweza kuwa dalili za mahusiano kuvunjika!!

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wakuu JF.
Mahusiano mengi au ndoa yanaweza kuanza vizuri lakini baada ya muda yanavunjika..

Hili limekuwa ni tatizo ambalo limewasumbua watu wengi sana wengi wamejikuta wakihaha huku na kule kutafuta msaada pasipo kuwa na mafanikio.

Hivi hizi zinaweza kuwa dalili za mahusiano kuvunjika...

1. Ni pale unapotaka kulitatua tatizo na mwenzi wako anaendelea kutafuta sababu tatizo liendelee.

2. Wakati mwingine unapoona mabadiliko kwa mpenzi wako mfano dharau jambo dogo unatolewa ukali kutotimiziana haja mbalimbali ambapo zamani haikuwa hivyo.
3. Unapewa ahadi hewa..

4 Kupunguza mawasiliano kuonana, kuongea na simu au sms hata akitumiwa hatazijibu, au anaweza kukurudishia zawadi ulizompatia, au atakuambia yeye ndugu zake wamekataa au anaweza kusema hajisikii vizuri akiwa na wewe.

5. Mkipanga kutoka anakuambia nyumbani kuna wageni labda siku nyingine wakati zamani hakuwa hivyo..

6.Anakuomba pesa nyingi wakati anajua huna uwezo huo..
Wakuu hizi dalili zina ukweli wa kuvunja mahusiano tujadili...
 
1,2 na 4, kwa wanandoa zilizobaki ni wachumba.
 
Hapo kwenye namba tatu pamenigusa. Nlichofanyiwa ni aibu kusimulia.....ila maisha yanaendelea.
 
Hiyo ya 6 nshaifanya sana lakin haikuleta mafanikio badala yake nimekuwa nikipewa zaid ya pesa nilizoomba mmh imegonga ukuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom