PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,723
Ndugu wanaJF hususan wale wanaotumia TV-Dish la kawaida la Free To Air, siku chache zilizopita kulikuwa kunapatikana Channel kama e-Tv ya South Africa,ambayo ni nzuri sana tu, pia kulikuwa na UJALA- inayoonyesha mambo ya Wanyama na Teknolojia kwa ujumla, pia kulikuwa na OHTV, ambayo nilikuwa naipenda sana.
Kwa sasa hizi stesheni sizipati tena, naomba msaada wenu kwa wanaojua kama zimebadilishwa zimekuwa na frequency gani?
Kwa sasa hizi stesheni sizipati tena, naomba msaada wenu kwa wanaojua kama zimebadilishwa zimekuwa na frequency gani?