Hizi tabia za mademu zinaniuzi

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Unakuta umempakiza demu kwenye gari akishuka anasahau either kibanio cha nywele, hereni au kakitu kokote ili ili mradi azue tafrani.
 
Umeshasema amesahau . . . sasa siumkumbushe?

Alafu na wewe unapopakiza pakiza "mademu" unawapakiza wa kazi gani kama unajua hutakiwi kufanya hivyo?Usiwe hovyo na kupeleka lawama kwingine.
 
Lizzy mi naona kama wanafanyaga makusudi manake its very common. Kama jana kuna mmoja kaacha kibanio na kofia yake (barret) yaani utata mtupu.
 
Na nyie mnaowapakiza mnakua mnafanya nini?
Nyie na wao wote ni wale wale. .. mnawafanyia wenzenu mambo ambayo sio.Sasa either uwe muungwana na kumtendea mwenzio unayotaka kutendewa au uendelee bila kumlaumu huyo demu wako maana hamtofautiani.
 
Ni sawa Lizzy, ila lengo la kuacha hivyo vidubwasha nini ni?
 
pole Nduka,siku nyingine gest atangulie na taxi,mkimaliza aondoke na taxi.Kama vipi rejea kwenye uzi wa The Boss.....nyumba ndogo for further guidelines.
 
Umeshasema amesahau . . . sasa siumkumbushe?

Alafu na wewe unapopakiza pakiza "mademu" unawapakiza wa kazi gani kama unajua hutakiwi kufanya hivyo?Usiwe hovyo na kupeleka lawama kwingine.

Umemaliza kabisa hapo hakuna swali.
 
Unakuta umempakiza demu kwenye gari akishuka anasahau either kibanio cha nywele, hereni au kakitu kokote ili ili mradi azue tafrani.
Kwani unapakiza wangapi kwa siku? na kama ni huyo huyo mmoja si mwanamke alotimia,hajui kama akikuharibia nyumba wewe na yeye pia hakai?
 
Unakuta umempakiza demu kwenye gari akishuka anasahau either kibanio cha nywele, hereni au kakitu kokote ili ili mradi azue tafrani.
Pole sana ,
Ila unasaund km huwa unwapakizaga wengi kwa nyakati tofauuti!!!!
Waulize kwann huwa wanasahau?
Na kwa vile ni frekuentili kwann umeendelea kuwapakiza?
 
Unakuta umempakiza demu kwenye gari akishuka anasahau either kibanio cha nywele, hereni au kakitu kokote ili ili mradi azue tafrani.
inabidi uweke utaratibu sasa kila anaeshuka kabla hujamruhusu kuondoka mwambie asubiri kwanza ukague gari lako....
 
Anapaswa kuanzisha taasis icyo ya kiserikali ya KUWAPA LIFTI WASICHANA
Umeshasema amesahau . . . sasa siumkumbushe?

Alafu na wewe unapopakiza pakiza "mademu" unawapakiza wa kazi gani kama unajua hutakiwi kufanya hivyo?Usiwe hovyo na kupeleka lawama kwingine.
 
Wako wengi wa hivyo siku hizi, tena ukimleta home, ndo asubuhi akioga anaanika na kuacha chupi yake bafuni kabisa.

Il Gambino.
 
Matatizo mengine ni ya kujitakia wala hukuwa na sababu ya kutushirikisha, au hao unaowapakia wako JF???
 
Back
Top Bottom