Hizi sitaki nataka nazo..!

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
663
117
Habari za weekend wana JF

Kuna hili suala la sitaki nataka hasa kwa wanawake..yani mtu unaweza kujikuta unatongoza karibu mwaka mzima mtu hata haeleweki.
Sasa nashindwa kuelewa sijui ndio fashen ama vp..unakutana na mrembo unamueleza shida yako halafu mkikutana siku nyingine anataka uanze upya tena eti amesahau.
Ukimuita kila sehemu anakuja akifika ooh nilikua napita tu..vingine ukimueleza anakubali then baada ya muda anakataa.
Simu nazo ukipiga mara piga baadae,ukituma sms ndio kwanza anajibu kesho..cha ajabu ukisema umkaukie atakutafuta halafu utasikia "ndio umeamua kunichunia,i miss you"

mbona mnatuchanganya..!
 
Love is like a butterfly.
The more you chase
it, the more it eludes you.
But if you
just let it fly, it would come to you when you least expect it

So Good man, DONT FIND LOVE, let love find where you are
 
I

Mi napenda love inipate.....kama kupatwa kwa mwezi.
Let it come to me......me relaxing with me beers, then me receive love....!!
 
Mwambie awe serious na wewe kama anakupenda kama hakupendi anza
 
wanaume mna matatizo.....mkikubaliwa kirahisi tabu mkizungushwa tabu.....relax man,kama ni wako itakuwa tu kama sio potezea......:twitch:
 
eti eeh..lakini si kama tuna matatizo hiyo ndo hali halisi
 
Hii ipo sana, ila tatizo ni sisi vidume wenyewe kuwabembeleza sana hawa watu.... Cha msingi ni kuhakikisha katika siku 3 za kukutana hakikisha ana-declare interest kama unaona hana muelekeo achana nae... Mwaka mzima unamfuatilia mtu, unatafuta nini na ndio maana wanaleta pozi!!! :msela:
 
Kweli Babu lao,wanaume wengine wanazunguka weeeee,akueleze babu yake alikuwa chifu,mama yake alikuwa katibu wa chama enzi za nyerere sijui yeye alisoma english medium kipindi hicho hazipo nyingi.......then baada ya miezi sita huyo....Michelle i do love you.......kuwa muwazi mapema....sio kutumia muda na effort kubwa at the end kama siku-feel ndo hivyo tena........:laugh::laugh:
 
Wanawake tuna akili sana.
Wakati tunaowazungusha ndio wakati tunaojaribu kuwasoma na kujua mienendo yenu.
Hatupendi kukurupuka.
 
Love is like a butterfly.
The more you chase
it, the more it eludes you.
But if you
just let it fly, it would come to you when you least expect it

So Good man, DONT FIND LOVE, let love find where you are

Sure.
 
Nanyi wa kaka mmezidi, mtu akikukubali siku hiyo hiyo Ooh maharage ya mbeya maji mara moja, akikusumbua ooh sitaki na tanaka. Kwakifupi msichana tabia ya sitakinataka SUNA.
 
Punguza spidi ya kuandika mamiiiiiii, mboga bado inaiva jikoni
 
Kweli Babu lao,wanaume wengine wanazunguka weeeee,akueleze babu yake alikuwa chifu,mama yake alikuwa katibu wa chama enzi za nyerere sijui yeye alisoma english medium kipindi hicho hazipo nyingi.......then baada ya miezi sita huyo....Michelle i do love you.......kuwa muwazi mapema....sio kutumia muda na effort kubwa at the end kama siku-feel ndo hivyo tena........:laugh::laugh:

aah wapi..hii ilikua zamani, siku hizi hii ni mara chache sana..mademu wengine wanaingia mpaka gesti, halafu anakataa kila kitu hata kuongea hataki, sasa sijui alienda kufanya nini
 
Ilikuwa zamani kwako....mimi kama mwanamke nakutana nao....guest anaweza kuwa alikuja kwakuwa ulimwambia mkutane hapo mzungumze mkiwa mmepumzika na private yeye hakuwa na fikra za sex kama wewe.....kufuatwa guest si lazima kuwe kwa ajili ya sex :laugh::laugh:
 
mna miaka mingapi inaonyesha kama wote bado watt subirini mkue wakubwa mtafaidi akutakuwa na usumbufu
 
Back
Top Bottom