Hizi sio ndoto za kawaida

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,794
1476901922727.jpg
Ni usiku mwingine tena tunapojiandaa kupumzika vitandani mwetu (hata kama ni ugenini gesti house au barabarani kuna dakika chache utalala kidogo na kuota)
Ndoto njozi na kuota ni hitaji la kawaida la mwanadamu, shida ipo ni je unaona ndoto za aina gani?

- unaota ndoto za kawaida kutokana na harakati za kawaida za kimaisha kutokana na fikra mawazo matendo na maono?

- Ama la unaota ndoto taarifa au ndoto ujumbe au ndoto maono? Ndoto zenye ujumbe maalum?

- Au je unaota zile ndoto zile ambazo si ndoto bali ni matendo ya giza? Ndoto za
Kuota umelazwa kwenye jeneza
Kuota unazama/unazamishwa baharini
Kuota unakula/unalishwa nyama

Kuota unang'atwa na mdudu na unapata maumivu mpaka asubuhi
Kuota unakimbizwa au kufukuzwa
Kuota umefungiwa kwenye kiota chupa nk
Ndoto zote hizi huwa live mpaka asubuhi au unapostuka na unakumbuka kila kitu saa nyingine hata uchovu maumivu na Ladha....!

Ndoto za namna hii si ndoto za kawaida na huambatana na mambo yako mengi kuharibika! Hizi ni ndoto za kufanyiwa mambo mabaya na watu wabaya
Ukiweza jitahidi kuchunguza ndoto zako leo na siku zijazo utagundua kitu
1476902871329.jpg
 
Mimi niliwahi kuota hivi, kuna jirani yetu alikuwa na kijana wake sasa yule kijana ile siku ikatokea akawa anampiga sana mtumishi wao wa ndani na yule mtumishi akawa anapiga kelele sana,

ikanibidi nitoke kwenda kumsaidia ila nkiwa njian nkapita sehemu palikuwa na wadudu wengi sana na miongoni mwao walikuwa ni nyoka na hapo ndipo nyoka mmoja akaniuma mguuni na katika ndoto ile wala mimi sikujali nikaendelea na safari yangu ila nkiwa na kumbukumbu kwamba nyoka kaniuma!!

Mpaka nilipostuka nilikuwa bado naikumbuka ndoto hiyo japo ckuwa na maumivu yoyote,je inawezakuwa ilimaanisha nini!?@Mshana jr
 
Mimi niliwahi kuota hivi,kuna jirani yetu alikuwa na kijana wake sasa yule kijana ile siku ikatokea akawa anampiga sana mtumishi wao wa ndani na yule mtumishi akawa anapiga kelele sana,ikanibidi nitoke kwenda kumsaidia ila nkiwa njian nkapita sehemu palikuwa na wadudu wengi sana na miongoni mwao walikuwa ni nyoka na hapo ndipo nyoka mmoja akaniuma mguuni na katika ndoto ile wala mimi sikujali nikaendelea na safari yangu ila nkiwa na kumbukumbu kwamba nyoka kaniuma!!
Mpaka nilipostuka nilikuwa bado naikumbuka ndoto hiyo japo ckuwa na maumivu yoyote,je inawezakuwa ilimaanisha nini!?@Mshana jr
Ulitaka kupigana vita isiyo yako lakini inayohusika nawe kwa namna moja au nyingine
 
Mimi huwa naota ndoto za manyoka na huwa hayaniumi ila asubuh nkiamka lazima ntakutana na nyoka na ntamuua Mara chache sn wamekimbia yaan ndoto za manyoka zimekuwa kawaida na kuna siku wanakuwa wengi sn ndani baba yng anawaambia ndugu zngu msiwauwe eti mpk nije mie.yaaan ndoto zimekuwa hvyo km matukio ya kweli.
 
Ndoto zinazoambatana na matukio ya kweli kama hizo ni ndoto maono au taarifa, vita inayopiganwa kwenye ulimwengu wa roho mpaka kujitokeza live
 
Ndoto zinazoambatana na matukio ya kweli kama hizo ni ndoto maono au taarifa, vita inayopiganwa kwenye ulimwengu wa roho mpaka kujitokeza live
Ila nateseka sn na hizi ndoto zimekuwa muoga sn kulala. Na hata kutembea sehemu nazohisi kunaweza kuwa na nyoka maana lazima ntakutana nae km usiku nilimuota tena rangi hadi ukubwa.

Kuna sehemu nilienda ugenini ñkamuona choon wenye nyumba wakashangaa sn wakasema toka wamehamia hawajawah kuona nyoka.

maajab walipotoka kuchukua fimbo mm nkiwa mlangon hata sikujua ameingia wapo kila MTU akabak na bumbuwaz ila m nilishaona ndotoni tukio zima.
 
Yani zile post ziliniacha hoi

Ha ha ha haa hawakawii kukuzushia umerudi baada ya panya road kufufuka.

Hili la ndoto, kuna nyingine unaweza kuota inamaruerue ikakuacha vibaya siku nzima. Kama vile movie la mazombie hadi unajiuliza, hii ndoto kitu gani kimefanya iwezekane?
 
Ila nateseka sn na hizi ndoto zimekuwa muoga sn kulala. Na hata kutembea sehemu nazohisi kunaweza kuwa na nyoka maana lazima ntakutana nae km usiku nilimuota tena rangi hadi ukubwa. Kuna sehemu nilienda ugenini ñkamuona choon wenye nyumba wakashangaa sn wakasema toka wamehamia hawajawah kuona nyoka.maajab walipotoka kuchukua fimbo mm nkiwa mlangon hata sikujua ameingia wapo kila MTU akabak na bumbuwaz ila m nilishaona ndotoni tukio zima.
Unapolala tumia vitu hivi viwili au vitatu kitunguu saumu jipake kwenye paji na uso na viganjani kipande cha ndimu weka chini ya mto na olive oil jipake pia mikononi na miguuni na utosini
Angalizo: kichwa kinaweza kukuuma sana na kutoka jasho usiogope
 
Ha ha ha haa hawakawii kukuzushia umerudi baada ya panya road kufufuka.

Hili la ndoto, kuna nyingine unaweza kuota inamaruerue ikakuacha vibaya siku nzima. Kama vile movie la mazombie hadi unajiuliza, hii ndoto kitu gani kimefanya iwezekane?

Hiyo sio ya kawaida ni aina ya ndoto yenye mahusiano ya moja kwa moja na maisha yako ya kila siku
Ndoto zile za kawaida wala huwezi kuikumbuka yote au haiweZi kujirudia rudia mpaka upate hali fulani ya kukutia hofu
 
Unapolala tumia vitu hivi viwili au vitatu kitunguu saumu jipake kwenye paji na uso na viganjani kipande cha ndimu weka chini ya mto na olive oil jipake pia mikononi na miguuni na utosini
Angalizo: kichwa kinaweza kukuuma sana na kutoka jasho usiogope
Asante sana ndugu yangu nitafanya hvyo nimwkuwa nkikutafta sana muda kuweza kukuuliza Ila nashukuru sana ndoto zinatisha sana hasa unapoikumbuka yote asubuh
 
Asante sana ndugu yangu nitafanya hvyo nimwkuwa nkikutafta sana muda kuweza kukuuliza Ila nashukuru sana ndoto zinatisha sana hasa unapoikumbuka yote asubuh
Ok haina shida lakini ningependa kukuuliza baadhi ya maswali
-zilianza lini?
-zilianza wapi?
-ni hizo tu siku zote?
-unapoamka hupati uchovu wa mwili?
 
Mkuu mshana mimi nimeota hivi majuzi tu, ilikua hivi,
Nikiwa kwenye kituo cha daladala, ghafla akatokea mama mmoja akanishika kidole gumba cha mkono, nikashituka na kutaka kukimbia, lakini akanituliza na kuniambia nisimwogope Kwani anataka kunitoa mdudu kwenye kidole changu,

kugeuka na kumwangalia kumbe ni mama jirani yetu ninaye mfahamu, baada ya kubinya kidole changu na kweli akatoka mdudu ambaye sikumuelewa ni mdudu wa aina gani, baada ya kubinya kidole changu kikabadilika kikawa na mwonekano wa mdudu pamoja miguu kabisa, na nikaanza kuhisi maumivu, lakini Ile hali haikunitisha hata kidogo

NB: mimi huwa sina Kawaida ya kuota ndoto za kutisha, lakini hii ndio imenitatiza sana, sasa mkuu mshana sijui ina maana gani hii ndoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom