Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Rev, nimeona leo asubuhi maadhimisha ya Ashura huko Middle East, walikuwa CNN. Sikuamini nilichokiona. Umati mkubwa wa watu wamevalia nyeupe(wakapendeza sana) lakini wengi wana mapanga makali. Wanafika nadhani ni kama matabahu hapo, wanakatana mapanga, damu inachurizika kama mifereji mingi ya maji! Upande wa pili niliona Ambulence ikiwa inasubiri watakaoishiwa nguvu watibiwe. Ila mtangazaji alisema baadae kuna ambao kuliko damu yao imwagike bure basi huenda kwenye ambulence na kufanya donation. Makubwa! Ukweli hatuwezi kupamba Krismasi yetu na Damu!!!!!
Hahahaha wana mambo sana hawa wenzetu! Ila cha muhimu tuvumiliane ndugu