Hizi sherehe X-Mass Tanzania...?

nani kawakataza kupiga kaswida kwenye sikukuu zenu za dini,pia kama mna mapambo yenu mpambe tu,mbona wahindu mitaa ya zanaki na kisutu pale huwa wanapamba ofisi zao au nyumba zao kwenye sikukuu zao??
mkifanya hivyo hata sisi tutawasapot maana nanyi huwa mnatusapoti kupamba mikrismass tree na kusherehekea.
 
x mass ni sikukuu ya wote duniani wakristu kwa waislamu. SOMA habari kwenye magazeti ya leo utakuta HOTELI ARABUNI YANUNUA MTI WA XMASS KWA USD 11 MILLION (TSHS.BILLIONI 16) = ABI DHABI
 
Sasa hivi dunia nzima inayoyoma kwa x mass from uarabuni to uchina.
Kila mahali ni offer za x mass season katika mashoppin center na huduma.
Hii yote ni utamaduni, waislam hamna utamaduni huo ndugu yangu, na utafanya kosa kutaka kuiga,kwanini ukereke na utaratibu wa mwenzako
 
Tuko makini tunasubiri shirika lolote la serikali litakalo tumia pesa za walipa kodi kusherehekea xmass, wanawajibishwa. Tumesha unda timu ya kuliangalia hili

tEMBELEA MAOFISI MENGI TU YA SERIKALI UTAKUTA YAMEPAMBWA...NA ZAWADI KIBAO ZIMESHAANDALIWA ZINATUMWA KWA BAJETI ZA OFISI...HAINA MANENO HIYO KAKAAKE!
 
Kama na waislamu wana maua,nyimbo na mapambo mengine wanaweza kufanya hivyo kwa kuwa hakuna sheria inayozuia kufanya hivyo.Ni suala la kuingiza kwaenye bajeti tu!!

Si sahihi kutumia bajeti ya serikali kwa sikukuu za kidini. Kama Serikali haina dini suala la sherehe ziachiwe wananchi wenyewe wafurahi majumbani mwao.
 
Hii sikukuu imebarikiwa.....AMEBARIKIWA YEYE AJAYE KWA JINA LA BWANA....
MATAIFA WASHANGILIA,DUNIA YAIMBA WIMBO,SAUTI ZA SIKIKA KILA MAHALA
TAZAMA MAUA YA KONDENI? MITI YA CHIPUZA (mXMAS) VILIMA VYATOA NYASI
MFALME WA ULIMWENGU ANAZALIWA!
 
whether mnakubali or not, waislamu hamna kwaya, fullstop! kuhusu xmas trees kama mnahisi ni ubunifu wa kikristo basi nanyi mnaweza kubuni mti wenu ukaupamba sambamba na mti mnaodai ni wa kikristu!
 
Si sahihi kutumia bajeti ya serikali kwa sikukuu za kidini. Kama Serikali haina dini suala la sherehe ziachiwe wananchi wenyewe wafurahi majumbani mwao.

Mkuu unajua kuwa bakwata inatunzwa na serikali?, unajua kuwa mashirika na idara mbali mbali za serikali kwa kutumia pesa ya serikali hupeleka wafanyakazi kwenda kuhiji maka, lakini huta sikia wakristo wanalia lia hovyo?
 
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.
Hapa JF usiingie kinyume nyume bro, utajapata mimba ya mgongo
 
Hii sikukuu imebarikiwa.....AMEBARIKIWA YEYE AJAYE KWA JINA LA BWANA....
MATAIFA WASHANGILIA,DUNIA YAIMBA WIMBO,SAUTI ZA SIKIKA KILA MAHALA
TAZAMA MAUA YA KONDENI? MITI YA CHIPUZA (mXMAS) VILIMA VYATOA NYASI
MFALME WA ULIMWENGU ANAZALIWA!
Lete ushahidi, umepata wapi haya yote!?
 
whether mnakubali or not, waislamu hamna kwaya, fullstop! kuhusu xmas trees kama mnahisi ni ubunifu wa kikristo basi nanyi mnaweza kubuni mti wenu ukaupamba sambamba na mti mnaodai ni wa kikristu!

Nimemwomba Yaya na MS wao wapambe Mtende siku ya Maulid!
 
Tuko makini tunasubiri shirika lolote la serikali litakalo tumia pesa za walipa kodi kusherehekea xmass, wanawajibishwa. Tumesha unda timu ya kuliangalia hili

Mbona hatuambiwi haya mapambo yananunuliwa kwa bajeti ipi? ya sirikali ay waumini? Kwa nini sirikalini? sirikali haina dini sasa mambo ya kufanya sherehe za krismas ofisini yanatoka wapi?
 
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.

Haya madai nayafananisha na yale ya wanawake kutaka usawa wa kila kitu na wanaume, isitoshe madai pia yanaaibisha uislam, kwamba uwepo wa tamaduni zao hutegemea wakristo wanafanyaje. JK ana kazi kweli, mpaka kufikia kila kitu watakacho waislam tutakuwa tayari tupo Mogadishu . . .
 
ila mimi huwa najua tangu zama kuwa la Mungu huwa kuu, na lenye nguvu kupita akili ya kibinadamu
kama ungekuwa na akili ya ziada hapo ni mahali pa kuanza upya kuchungu za uhali wa dini zingine
mbele za Mungu, kama jambo limekuwa la kupooza poza ujue ndani yake halina mkono wa Mungu
hebu kuwa mwaminifu tu anza leo kuchunguza ukweli hizo dini zingine, baadala ya kulaumu
 
Haya madai nayafananisha na yale ya wanawake kutaka usawa wa kila kitu na wanaume, isitoshe madai pia yanaaibisha uislam, kwamba uwepo wa tamaduni zao hutegemea wakristo wanafanyaje. JK ana kazi kweli, mpaka kufikia kila kitu watakacho waislam tutakuwa tayari tupo Mogadishu . . .

Mkuu umesikika naomba uyaandike haya maneno mazito kwa herufi kubwa!
 
Mbona hatuambiwi haya mapambo yananunuliwa kwa bajeti ipi? ya sirikali ay waumini? Kwa nini sirikalini? sirikali haina dini sasa mambo ya kufanya sherehe za krismas ofisini yanatoka wapi?

Kuna watu wanataman kuja kusikia Ukristo umepigwa marufuku Tanzania ndipo roho zao zitasuuzika, ka-nchi kenyewe masikin wa kutupwa duniani, badala ya kuhoji mapesa ya kuilipa DOWANS, au yale ya mabango ya uchaguzi mkuu nchi nzima, na mahela mengine meeengi ya ufisadi yanatokana na bajeti ipi, eti unauliza vipesa vya maua ya Santa Claus na vazi lake kanunua nani??!!! Sijui lini mtaamka kutoka usingizin??
 
Happy Ashura day mkuu kesho

Rev, nimeona leo asubuhi maadhimisha ya Ashura huko Middle East, walikuwa CNN. Sikuamini nilichokiona. Umati mkubwa wa watu wamevalia nyeupe(wakapendeza sana) lakini wengi wana mapanga makali. Wanafika nadhani ni kama matabahu hapo, wanakatana mapanga, damu inachurizika kama mifereji mingi ya maji! Upande wa pili niliona Ambulence ikiwa inasubiri watakaoishiwa nguvu watibiwe. Ila mtangazaji alisema baadae kuna ambao kuliko damu yao imwagike bure basi huenda kwenye ambulence na kufanya donation. Makubwa! Ukweli hatuwezi kupamba Krismasi yetu na Damu!!!!!
 
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.

Kwa nini Chungu_tamu usibatizwe ili ufaidi haya mambo?
 
Back
Top Bottom