Hizi Sapraiz hizi...

tanzanite.jpg .....hapo vipi bebii..kitu cha Tanzanite. Preta
 
Last edited by a moderator:
Angalia usije ukaletewa nyoka kama mwenzio!! ......
MAPROSOO.
 
Wewe ndo uko kama mimi Mkuu, ndo maana Preta anatupend wote, lol

.....mkuu..mbona unamtaka sana shem wako..vipi...ucje kuwa jini kisirani..umetumwa kuvuruga penzi letu..?. TANMO.....bebi..unamsikia huyo....eti unampenda..lol. Preta
 
Mkuu tuliza mzuka,, nakushauri udili na huyo Bebi yako ili atulie, mana ananing'ang'ania yeye,, lol
 
jamani jamani..... TANMO na mtu chake......si nilishawaambia hakuna mtu atanitenganisha na nyie....nampenda kila mtu sawa....nusu kwa nusu.....hii kung'ang'aniana inakujaje tena.........
 
mtu chake hataki, anataka full control ya wewe. Na mimi sina kipingamizi.. Manake usalama wangu uko mashakani, lol
 
hivi nyie watu mnataka kunisababishia aizi konkasheni........?......semeni nisikie saa hii.......

bona unatapa tapa mara sapraiz mara mmasai ...piga hata moja moto moja baridi kama maneno hayatoki
ni utani tu hutakiwi ku reakt jomba
 
Back
Top Bottom