Hizi Sapraiz hizi...

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,513
11,276
Siku hizi kumekuwa na Tabia ya watu kukuahidi kabisa kwamba atakuletea Sapraiz,
Sasa najiuliza hivi nikiahidiwa kuwa nitaletewa sapraiz, bado ina uhalali wa kuitwa spraiz tena?
Sasa TANMO nimeahidiwa kuletewa Sapraiz na nimeshaisubiri vya kutosha, na inakaribia kuja. Nimeshaimajini (imagine) mpaka Gari hapa nilipo,, sasa nina wasiwasi hiyo Sapraiz ikiwa kitu ambacho kiko viwango vya chini ya matarajio yangu si huyu mleta Sapraiz ndiye atakuwa Surprised na reaction yangu Wajameni?

Ile habari ya Oooh My Goood,, au Waaaaoh,, au This is soooo swiiiti,, nikishindwa kuzitoa si nitamdisapoint mtu Jamani?
huu ushamba huu..

BTW: Umeshawahi ona Mmasai Sharobaro? Kwa kifupi ana swaga zote za kisharobaro mpaka mavazi. Wakati huo huo ametoga sikio, ameng'oa jino, anakula ugoro wake huku yupo kijiweni kwa Wamasai wenzake wanapiga stori..?

Mapendo,
TANMO
 
unataka kunisapraiz na nini Amyner?
niambie kabisa ili nikuambie kama nitakuwa surprised, lol

Endelea kubaki in suspense ndo raha ya suprise!
When u least expect unashangaa hicho kimekuja!
 
Endelea kubaki in suspense ndo raha ya suprise!
When u least expect unashangaa hicho kimekuja!

I can't wait..
Ila ukileta kinyume na ninavyoimajini hapa, utanidisapointi ujue?
 
itakuwa ni zawadi ya ahadi na sio sapraizi tena raha ya saplaiz haitabiriwi..

ni kweli mkuu, halafu wakati mwingine hata wasanii utasikia wamewaandalia sapraiz mashabiki wao..
 
Oooh?
Saplaizi my foot, uzungu kimba huo.
TANMO made my day na sharobaro wa kimasai.

mkuu nimekutana na Sharobaro huyo leo,, halafu amedai soon ataingia studio kutoa singo yake ya RnB..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom