Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

Tuache visingizio,mwanaume kama ni malaya atakuwa ni malaya tu na wala haitaji kufanyiwa manjonjo saluni ili afanye ufuska.umalaya ni attitude of mind na wala tusisingizie saluni,mara oh wasichana wanashika masikio etc,mbona nesi hospital akikushika nanihi huwazii ngono? Tuache visingizio ngono ni suala la uamuzi wa mtu na halihitaji visingizio,period! Achezi mabinti za watu wapate riziki,afterall ajira zenyewe ziko wapi?
 
... Nawaulizeni wanajf wenzangu, je kama uko na mai waifu wako akaona unayofanyiwa na hawa akina dada atakuruhusu uwe unakwenda peke yako?

naam, wangu alinisindikiza mara mbili tatu siku hizi huniuliza tu, "..umenyoa kwenye ile salooni eeh?"

...Au kama maiwaifu wako angekuwa anafanya kazi huko, ungemruhusu awafanyie wanaume wengine vile hawa akina dada wanafanya? Na tujadili!

...naam, la msingi ni yeye mwenyewe anavyojiheshimu, anavyoniheshimu na kuiheshimu ndoa yake...haijalishi kama ni Barmaid, Nurse, au Personal Secretary wa bosi, hakuna kazi 'mbaya'.

Hivi wasichana wetu hapa Bongo wanafanya BIKINI WAX katika hizo saloon?

...mwanaume mzima ukafanyiwe 'bikini-Waxing', kisa? :D
 
Tuache visingizio,mwanaume kama ni malaya atakuwa ni malaya tu na wala haitaji kufanyiwa manjonjo saluni ili afanye ufuska.umalaya ni attitude of mind na wala tusisingizie saluni,mara oh wasichana wanashika masikio etc,mbona nesi hospital akikushika nanihi huwazii ngono? Tuache visingizio ngono ni suala la uamuzi wa mtu na halihitaji visingizio,period! Achezi mabinti za watu wapate riziki,afterall ajira zenyewe ziko wapi?
Mkuu tuko pamoja kwa hili. Lakini swali ni je, unaweza kuongozana na mkeo/mmeo wakati wa kufanyiwa hii huduma huko kwenye hizo salon?
 
naam, wangu alinisindikiza mara mbili tatu siku hizi huniuliza tu, "..umenyoa kwenye ile salooni eeh?"



...naam, la msingi ni yeye mwenyewe anavyojiheshimu, anavyoniheshimu na kuiheshimu ndoa yake...haijalishi kama ni Barmaid, Nurse, au Personal Secretary wa bosi, hakuna kazi 'mbaya'.



...mwanaume mzima ukafanyiwe 'bikini-Waxing', kisa? :D
Mkuu hapo juu umenichekesha sana, ila hiyo para ya pili nana kana kwamba unamruhusu tu kwa shingo upande kwa ulichokiita "hakuna kazi mbaya"
 
Mkuu hapo juu umenichekesha sana, ila hiyo para ya pili nana kana kwamba unamruhusu tu kwa shingo upande kwa ulichokiita "hakuna kazi mbaya"

...sasa utafanyaje ndugu yangu maisha yenyewe magumu haya...
kuna watu wake zao ni wacheza shoo kwenye bendi za dansi, kuna wengine ni wacheza sndimba... zote hizo ni kazi, ambazo umahiri wao na kujituma ndio kunako weka mlo mezani :)

...ila ukweli unabakia, wengi wa wasichana wa saloon waume zao ni hao jamaa wa saloon pia, wacheza shoo na waume zao ni wanamuziki pia, madakitari wengi wake zao ni wauguzi, kama walimu wanavyooana na walimu wenzao...inabidi kukubaliana na mazingira ya ajira uliyomo.
 
Watu wote walichangia fresh tu, wengine wametoa uzoefu wao,na wengine utetezi wa wahudumu(wafanyakazi), mimi nionavyo sio wasichana wote wanafanya kwa lengo la ukahaba, wengine ile ndio ajira sasa wanyeje? akishindwa kufanya vizuri kila mteja anaekuja anamkcha anaenda kwa mwingine si ndio hivyo tena kazi ingekuwa balaah!? wateja na sisi ndio tamaa zetu na mindset up zetu, ......shetani wa mtu ni mtu mwenyewe wewe ukiguswa tu unawaza ngono na ndio hao! hao! ambao wakipanda kwenye mabasi wanachafua dada zetu na mama zetu kwa kujibamiza nyuma zao.

Vilevile kuna wanawake ambao nao wanapenda kweli kutumia hio kazi kufanya kazi ingine(kutega) na kweli wanawapata hao wa dhaifu wanaolegea kwa kukunwa masikio.
 
mbona nesi hospital akikushika nanihi huwazii ngono?

Nimeipenda!!!! Ila kumbuka kuna wagonjwa wengine ambao wakihudumiwa na manesi wa kike huanza balaa!!!
Halafu binadamu wote si sawa kuna wenye matatizo ya akili ambao kwao ngono ni kama kupeana mkono wakati wa kusalimiana!!
 
jamani waacheni wadada wa watu wamejitafutia ajira hapo kwa kuosha osha watu sura..unaetaka wakuosha sura tusiotaka kama sie twanyoa tu na kutoka nduki..maana sie wengine bwana tukishashikwa shikwa na wamama basi misisimuko inaanza na tunaogopa kufika mbali zaidi...kwahiyo ni wife tu ndo afanyakazi ya kunishika mwili


Nakushauri uende tu ukahudumiwe lakini mawazo yako uya seti kiasi kwamba hata akigusa wapi haustuki.
 
,,,,,,Ha ha haaaaa!!,kuna jamaa mmoja huku zenji alikua anakoshwa uso na nywele baada ya kunyolewa,sasa saluni za siku hizi zenji wanaleta wadada walio jaaliwa toka bara,na kama unavyojua tena wadada wa kizenji wengi vi basmati(portable),lijamaa limeshamaliza kuoshwa linaambiwa MAKAME haya amka aje mwingine,,halitaki,,kumbe mambo yalikua yesha kua mabaya kwenye suruali,MNYAMA alikua kesha kamata network,kwa kweli ilikua kali kwelikweli.Hi kitu ni balaa lakini si ndo maendeleo bana,tutazoea tu.

Ndugu yangu umenifanya nicheke na kumweleza mama watoto hapa habari hii..!

Ni kweli sio mchezo kaka..Ukileta utani na suluali zetu hizi za vitambaa vyepesi unaweza umbuka sana..!
 
Mke wangu hawezi kuniruhusu,pia siwezi kukubali mke wangu afanye hiyo kazi. Omba usifanyiwe hiyo kitu. Wanatekenya vibaya madada hawa,acha kabisa.
mkuu ipo moja sinza.....mhh nilitekenywa masikioni alafu anajifanya anakupuliza masikioni.....si mnajua upulizwe sikioni utamu wake....lol uzalendo ulinishinda nikamuambia asinipake madawa nina aleji ila ule utamu ungeendelea yangekuwa mengine.....
 
mkuu ipo moja sinza.....mhh nilitekenywa masikioni alafu anajifanya anakupuliza masikioni.....si mnajua upulizwe sikioni utamu wake....lol uzalendo ulinishinda nikamuambia asinipake madawa nina aleji ila ule utamu ungeendelea yangekuwa mengine.....


Kaka waweza nitajia jina la saloon yenyewe nitembelee huko ??
 
Ndugu zangu mwenye kufahamu saloon yenye huduma safi za jinsi hiyo nani tuambiane,Isiwe uswahilini sana, kwani wakati mwingine inasaidia kupunguza stress za kazi ..!!
 
Huko bwana kuna utapeli mkubwa maana wanakudanganya eti dawa ya mba kumbe ni dawa za wave n.k Kwa upande mwigine, ni vizuri hao wakina dada wakajishikiza sehemu kama hizo badala ya kufanya ukahaba (ingawa sehemu nyingine unatengenezwa nywele alafu unaweza kununua demu pia). Ushauri ni kwamba usidhubutu kwenda na mkeo sehemu hizo. Mimi niliwahi kuwambia My waifu anapitie akakuta nasuguliwa kichwa ikawa ugomvi mkubwa mpaka msichana wa salon akalamba kibao. Hatukuongea kama siku tatu hivi! Siku hizi kanunua vifaa anafanya mwenyewe nuymbani. Unapitia mwenyewe alafu anakuona unan'gara tu ukifika nyumbani. Vinginevyo, sijui wengine mnafikiri vipi lakini mimi sioni tatizo kuwa na salon hizi ingawa wanaume nao wanatumia muda mrefu salon siku hizi kama wanawake. Wengine wakifika nyumbani wanagombania vioo na wake zao. Huko sasa ni mbali sana!!
 
Wakuu naona akina baba wanachangia kwa kwenda mbele. Kwa upande wa hawa wapendwa wetu(Wanawake) naona kama wamekaa kimya sana kuhusiana na hili. Ningependa pia nao watueleze hapa jamvini kama wanaona ni vibaya/vizuri kwa marafiki(waume) zao kufanyiwa haya na hawa dada zetu huko kwenye hizo salon au kuna haja hizi shughuli kufanywa na wao?
 
Mbona hamzungumzii salon za kike kuhudumiwa na akina kaka?
Utamu wa mjadala ni uingie na ujadili. Kama unaona una lakusema kuhusiana na hili unakaribishwa, usisubiri mwingine azungumzie lile unalolifahamu na wakati mwingine alizungumze kinyume na unavyolijua wewe.
 
Nimesoma reply zote za hii thread,na sijaona hata mmoja aliyejibu kwa ufasaha maswali yaiyoulizwa na mwenye thread. Kwanini watu mnapenda sana kukimbilia kujibu vitu bila ya kujitayarisha vizuri, kwa maana ya kuelewa swali kwanza na kujibu kwa ufasaha. Au mnajibu ili mjiongezee credit tu. Maana wengine wamejibu kwa maswali zaidi. Tafadhalini, chonde chonde wanajf,kama mnataka kuendelea kuifanya JF iwe sehemu ambayo itakuwa endelevu, basi tujitahidi sana kutoa majibu mazuri kwa maswali yanayoulizwa. Kama unaona jibu huna basi kaa kimya si lazima uandike,for the sake of just writting.

Epitome umechimba kaburi ukaingia mwenyewe kwani badala ya kujibu umeishia kulalama weeeeeeeee then ukasepa.

Me nadhani hili tuliache kwenye level ya family kuamua. Kuna kitu kinaitwa swinging nadhani tunakijuwa wengi. Kipo sana majuu na kwa Africa nina uhakika na South Africa. Kifupi ni kwamba kwa kuwa sometimes kuna kuchokana kimapenzi ndani ya ndoa so mimi na my wife wangu tunaenda kwenye hiyo swinging club naibua kidosho kwa ajili ya kusex nacho na wife naye anapick njemba wanaendelea. So kama kuna couple zinaenda swinging clubs sembuse saloon tu? Me sioni shida ya kuoshwa tempetations ziko nyingi sana it all depends unavyoicontrol mind yako.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom