Hizi Salamu

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Jamani kuna hizi salamu mimi naweza ziita za kileo, mimi ni man, sasa utakuta demu ambaye mnafahamiana tu au mnafanya kazi ofisi moja na wala si wapenzi, anakuja anakusalimia kwa kukukumbatia kwa mbanano kabisa na kukubusu shavuni, kwa kweli mimi sizipendi kwani huwa zinaniacha na mfadhaiko mkubwa. Hebu fikiria demu anakukumbatia halafu chuchu zake zinakugusa na kukuletea msisimuko kiasi ambacho suruali na boxer inakuwa hazitoshi inabidi ukae ili hali ya hewa itulie.

Hivi karibuni kuna demu ofisini kwetu katoka maternity leave na chuchu zipo mwake maana zimejaa chakula ya mtoto, sasa si kaja kanivamia na kunikumbatia kwa mbanano na busu pia eti alinimisi, kwa kweli nilisisimuka nikaenda ofisini kwangu nikakaa kutuliza mzuka. Na tu nguo/blauzi twao siku hizi tulaini.
 
Pole sana mkuu hapo hamna jinsi mkuu...ni kuvumilia tu hapo maana kukataa huwezi kabisa!!
 
Pole sana mkuu hapo hamna jinsi mkuu...ni kuvumilia tu hapo maana kukataa huwezi kabisa!!

Ni kweli mkuu kukataa huwezi, lakini ni vema wasiwe wanakumbatia kwa kubanana sana na wawe wanaachia haraka, maana jinsi anavyokuganda ndivyo taabu ya boxer inazidi.
 
Mkuu inabidi umuone daktari haraka,hata kama ni urijali lakini hii ni too much,ina maana wewe anapokukumbatia tu basi mawazo yako yote yanaelekea kwenye hayo mambo?Maana nijuavyo mimi ni kuwa kama hutaweka mawazo katika hayo mambo hata akujie akiwa kama alivyozaliwa wala hutashtuka.Himahima baba muone daktari kabla mambo hayajawa makubwa zaidi.
 
Sidhani kama nyoka mwenye sumu huwa anachezewa ! Nyoka kama hana sumu basi ndio huwa huchezewa!
 
Mkuu inabidi umuone daktari haraka,hata kama ni urijali lakini hii ni too much,ina maana wewe anapokukumbatia tu basi mawazo yako yote yanaelekea kwenye hayo mambo?Maana nijuavyo mimi ni kuwa kama hutaweka mawazo katika hayo mambo hata akujie akiwa kama alivyozaliwa wala hutashtuka.Himahima baba muone daktari kabla mambo hayajawa makubwa zaidi.

Haya Bwana, lakini chuchu za mwanamke zina maajabu zikikugusa we acha tu!!!
 
Mmh jamani usafiri wa daladala hutumii wewe, tunavyobanana kwa zaidi ya masaa mawili nguo si zitachafuka zote,
 
Wadada wanazipenda sana hizo salamu coz watu wao hawawakumbatii sawa sawa, au kujidai mazoea humkumbatii mwenzi wako akienda kazini anakutana na mabazazi yanakumbatia nusu saaa hahahahahahaha
 
Akikukumbatia na wewe unaisimamisha ili asikilizie na yeye aondoke na mfadhaiko
 
yaani subhana llah,,, maana waweza kusema mwanaume hakumbatiwe,,, hivi tuseme hata dada yako akikumbatia utaweka hisia zile ulizonazo,,,, au inakuwa vipi katika hali hiyoo... maana mi wallah sijaon wala kuskia khabari hizo bado,,,,itakuwa huyu jamaa ana matattizo kidogo,,,
Khe!awakimbie tena....
 
Najua ndugu pia hukumbatiana lakini si kwa mbanano kihivyo na ni haraka sio dakika kadhaa kama ambavyo mademu wengine hufanya plus mabusu ya kumwaga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom