Hizi postgraduate za SUA unaziandikaje kwenye RESUME?!

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Wana JF,
hakika iddi imepita salama. Naanza muongo mpya kwa kujiuliza ni namna gani wahitimu wa shahada za juu ktk chuo cha SUA wanaorodhesaha shahada zao katika CV. Masters prog nyingi zinachukua miaka miwili lakini wanaomaliza shahada hizi kwa muda muafaka ni chini ya 10%, walibaki huendelea kuchekecha hadi miaka 4, sasa naomba kuuuliza ni namna gani shahada hizi zitaandikwa kwenye CV ?.
 
Umenikumbusha elimu ya SUA. Samahani napta tu.
<br />
<br />
Unapita kuelekea wapi?, loliondo kuchunguza botany ya dawa ya babu?! Au moshi kufanya utafiti juu ya mwanakondoo wa mil,10?
 
[QUOTE=Vanpopeye;Wakuu nisaidieni,hivi sua chuo kinafunguliwa lini? Tarehe 23 october, vp unaenda gonga nn pale?
 
Wanakuwa wanaferi au?
Wana JF,
hakika iddi imepita salama. Naanza muongo mpya kwa kujiuliza ni namna gani wahitimu wa shahada za juu ktk chuo cha SUA wanaorodhesaha shahada zao katika CV. Masters prog nyingi zinachukua miaka miwili lakini wanaomaliza shahada hizi kwa muda muafaka ni chini ya 10%, walibaki huendelea kuchekecha hadi miaka 4, sasa naomba kuuuliza ni namna gani shahada hizi zitaandikwa kwenye CV ?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom