Hizi nyimbo zina nibariki sana

princeamos

Member
Feb 24, 2012
52
1

Kila ninapo sikiliza nyimbo hizi huwa nabarikiwa sana kwani zimejaa Upako wa kweli ni nyimbo zilizo tulia hazina vikorombezo vyaku mtoa mtu kwenye uwepo kama tunavyoona miziki mingine mingi ya injili ambayo ni yaku burudisha tu. nimekua nikisikiliza nyimbo nyingi lakini hizi zinagusa na kubariki Roho yangu kwani kila ninapo sikiliza Roho wa Mungu hushuka juu yangu kwa nguvu sana naamini nawewe utabarikiwa saaaaaana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom