Hizi ni kejeri au Unafiki?

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Jamani wana MMU naombeni kuuliza hivi ni kwanini ukiweka picha yako kwenye Facebook lazima itasifiwa hata ikiwa mbaya vipi, binafsi nimejaribu kuweka picha niliyotoka hovyo kabisa, lakini nimekutana na Coments kama:-

*Waaaw!!!!! Nice pic
*Look gud!!!!!
*gorgeous
 
Ulitaka wakuponde? They are trying to be nice to you! You have to appreciate it!
 
hivi ulijaribu kuwauliza waliotoa hayo maoni kwa nini wanakusifia wakati wewe wajiona haukuwa murua.......................lakini mara nyingi tunapenda mtu original bila makeup...................................labda hicho ndicho kilichowavutia hapo.......
 
Ungewauliza huko huko face book nadhani wangekupa jibu zuli zaidi au kama unataka tuchangie na sisi ungetuwekea hizo picha tukatoa maoni yetu vinginevyo itakuwa kesi ya wale wao tushibe sisi?
 
ungewauliza huko huko facebook maana sisi hatujaiona na wala hatuwezi kutoa majibu ya hewani kwa kitu ambacho hatujakiona
Au na wewe ni handsome/beautiful nini unataka uanze kutuambia hapa
 
Kama uliona umetoka vibaya basi waliocomment waliona umetoka safi,wahenga walisema ukiona cha nini wenzio wanasema watakipata lini,hakuna mbaya duniani ni mtizamo tu.
 
Jamani wana MMU naombeni kuuliza hivi ni kwanini ukiweka picha yako kwenye Facebook lazima itasifiwa hata ikiwa mbaya vipi, binafsi nimejaribu kuweka picha niliyotoka hovyo kabisa, lakini nimekutana na Coments kama:-

*Waaaw!!!!! Nice pic
*Look gud!!!!!
*gorgeous

Weka nyingine uwe unalia uone je ni unafiki au la!
 
Jamani wana MMU naombeni kuuliza hivi ni kwanini ukiweka picha yako kwenye Facebook lazima itasifiwa hata ikiwa mbaya vipi, binafsi nimejaribu kuweka picha niliyotoka hovyo kabisa, lakini nimekutana na Coments kama:-

*Waaaw!!!!! Nice pic
*Look gud!!!!!
*gorgeous

griiiiii*!#!€¥!,....... mambo y fb huku yamefuata nn? we lazima utakua kilaza w UDSM.
 
Jamani wana MMU naombeni kuuliza hivi ni kwanini ukiweka picha yako kwenye Facebook lazima itasifiwa hata ikiwa mbaya vipi, binafsi nimejaribu kuweka picha niliyotoka hovyo kabisa, lakini nimekutana na Coments kama:-

*Waaaw!!!!! Nice pic
*Look gud!!!!!
*gorgeous

ndo urafik wa kwenye keyboard huo..
 
watu wengi wa face book wamejaliwa kejeli na unafki,sometimes wanasifia vitu ambavyo havina hata maana, kwa hilo sishangai.
 
hi kwani fb mnaweka picha za ukweli halafu wengi hapa jf mnaweka fake?iweke hapa,tukupe ukweli wako
 
face buku imejaa unafiki tu, kuna mtu aliweka mguu wa mtu aliyepata ajali, loo waliochangia walisema ...... nice pic!
 
Back
Top Bottom