Hizi ni hasira gani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,597
154,858
Mwenzetu hajaja ofisini, tangu asubuhi tumejaribu kumpigia simu lakini simu yake ikawa haipatikani.
Jioni hii nimemetembelea nyumbani kwake na nimebahatika kukutana naye. Anasema lkashindwa kuja kazini kwa kuwa mkewe kamchomea nguo zote, kitambulisho cha ofisi, kadi ya kupigia kura na kadi za benki.
Kisa? KAMFUMA na msg kwenye simu inasema, dear nimeshindwa kukuletea flash yako, nime imisplace, naomba univumilie.
 
Huyo mwanamke hajiamini, au labda ni mama wa home. Mbona hizo ni lugha za kawaida sana kwenye ofisi.
 
Mwenzetu hajaja ofisini, tangu asubuhi tumejaribu kumpigia simu lakini simu yake ikawa haipatikani.
Jioni hii nimemetembelea nyumbani kwake na nimebahatika kukutana naye. Anasema lkashindwa kuja kazini kwa kuwa mkewe kamchomea nguo zote, kitambulisho cha ofisi, kadi ya kupigia kura na kadi za benki.
Kisa? KAMFUMA na msg kwenye simu inasema, dear nimeshindwa kukuletea flash yako, nime imisplace, naomba univumilie.

Hahahahahaa!!!
BujiBuji akili zako zimechanganyika na valuer ngapi saa ahizi?
 
  • Thanks
Reactions: mja
Mianamke ya kiswazi ndivyo ilivyo, kwao neno dear, darling na mengineneyo yanamaanisha tumetoka gesti kudinyana.
 
heeee! Makubwa.
Kilichomfanya achome vitu vya mumewe ni hilo neno 'dear' au?

Hajaenda shule huyo. Mpe pole rafiki.
 
Hasira hasara!
jamaa itabidi asitoe matumizi mwezi mzima ili afanye shopping.
 
wanawake wengine wanakula ganja,mirungi kuchanganya na original,ugolo,komoni na cuber kwa pamoja.kwa ufupi hizo ni akili za mbayuwayu.
 
inawezekana mwanaume tabia zake mkewe hazielewi na akiulizwa ufafanuzi hatoi sa afanywaje? na inawezekana si mara ya kwanza amekuta mesage asizoelewa, bujibuji kama huyo mwanaume ana hakika hana makosa amemfukuza huyo dada baada ya kuchomewa nguo au amemfanyia lolote? wewe umeongea na mkewe kujua kosa?
 
Jamani hebu tujifunzen kucontrol temper.i like living by 3 codes, to love my man so much,to be confident and to pray n trust God.kuchomeana nguo na umaskini huu jamani thts very unfair.i wish nimjue hyo dada nimpe councelling make hajiamini kabisaaa.hatuendi hvo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom