Hizi ni deals za Maige?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,467
Simba moja jeupe linauzwa USD 50,000.00 kwenye black market, ukiuza 20 tu unakuwa na USD 1,000,000.00. Kama kila mwaka unauza 20 mpaka phase ya Rais aliyekuteua kuwa waziri bila kufanya reshuffle inakwisha unakuwa na USD 10,000,000.00

[video]http://cnn.com/video/?/video/international/2012/04/04/inside-middle-east-big-cats-status.cnn[/video]!!
 
Huyu Bwana alitoa Misaada ya maendeleo Kwenye Jimbo lake Yenye Thamani ya TZS 500,000,000/- Hakuna aliyemuuliza kazitoa wapi? Lol!! Nchi Yangu Tanzania!!
 
Anatakiwa kunyongwa......mawaziri wengi ni wezi wakubwa

Pole pole wakuu mwishowe tutasema Wasukuma hatutakiwi kwenye uwaziri?! Kama huyu akinyongwa basi serikali yote iloko madarakani inyongwe, tukianza na Mk.were akifuatiwa na Mazengo Punda!
 
Back
Top Bottom