Hizi ndoa za wana JF zingependeza kama ingekuwa hivi?

ama kweli penzi ni kikohozi. ila naona kama kuna mpambe anataka kutia nuksi hapo juu,kaa mguu upande best..


Mummy hio noted mbona... watu kibao... mapenzi yetu yangekua ya kubabaisha saizi tungekua historia....lol
 
chacha chwiti untie jela nawe ubaki na ntu gani tena? halafu ntoto weye miye nshakuambia tena utani mwingine utajatoa roho ya ntu! hapo penye rangi kama nanii pale chehemu wanipa raha miye, yaani akili yote chacha waiteka ka chungu cha njomba chanja! khaa, mwaka huu nna raha miye ntoto wa mama!

Hebu niondokee huko...unanizibia bahati na ngonjera zako zisizo na vina zaidi ya chacha!!
 
Nimeamua nimweleze ukweli Asha naona anapoteza muda,ukweli huooo!



Ngoja Sweetie atoke safarini ... Utaipata mana nishagundua umetumwa wewe

:boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing:
 
Hebu niondokee huko...unanizibia bahati na ngonjera zako zisizo na vina zaidi ya chacha!!

haha, mie hapo chenji yangu ndo unaponmaliza miye. kama ni chachacha ntauza lazima wikendi hii ukankunie nazi mwandani wangu. chacha chema basi nkutoe vipi nkoleni leo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom