Hizi ndizo zawadi zenu wana Chitchat toka kwa miss Madame B,ambaye ni miss wetu wa mwezi October

Madame B mi nilidhani ungeleta kitu kikali zaidi yangu, watuletea pafyuumu, sijui lotion...loooh....umeniangusha shostito.
 
Shost hata wewe una wasiwasi na mimi tena?
Me ni 'pure' Miss.

we c umefanyiwa kitchen paty juzi na post bado ipo sa huo u miss unaotoa wapi tena yakheee! na wanaume cku hizi hawataki kutuoa kama hauna kitu ku tumbo.shogaangu apo ahhh ata...
 
Madame B naomba ujipige pige kidogo unipe zawadi mojawapo kati ya hizi hand bags nitashukuru sana

han3[1].jpg LV-Bag1[1].jpg used-designer-handbags[1].jpg han1[1].jpg
 
Last edited by a moderator:
Madame B mi nilidhani ungeleta kitu kikali zaidi yangu, watuletea pafyuumu, sijui lotion...loooh....umeniangusha shostito.

Miss mwenzangu ulienitangulia,
Nitakuletea ya Peke yako.
Ila nawe umekosea,ungenambia zawadi gani niwape Mashabiki zangu.
 
we c umefanyiwa kitchen paty juzi na post bado ipo sa huo u miss unaotoa wapi tena yakheee! na wanaume cku hizi hawataki kutuoa kama hauna kitu ku tumbo.shogaangu apo ahhh ata...

Jamani ummu kulthum,
Kwani Miss haruhusiwi kuwa na Mchumba?
Nilichumbiwa na Lawyer wenu tangu niko Chuo,
hvyo sikuwa na Ki-Zygote mamito.
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha kuna pochi moja nimeliona kwenye pitapita zangu..........weeee!!
Bahati mbaya mie kilaza kwenye mambo ya kupost picha na video,
Ningekuwekea ukaliona!

Jinsi navyougua na mavitu ya kutupia kama haya
Itabidi ufanye namna kipipi angalau nione tu
 
Jinsi navyougua na mavitu ya kutupia kama haya
Itabidi ufanye namna kipipi angalau nione tu

Wala nisikudanganye my dear.......nashindwaga kabisa kupost!
Nililiona dukani.......si nikajiphotoa nalo kama vile langu!!

Sikujua kama nawe una kaugonjwa na hayo makitu.......!
 
Back
Top Bottom