hizi ndizo tofauti zetu!!!!!!!

Beso

JF-Expert Member
May 6, 2011
216
59
wekeni vijimaneno hapa. difference-men-women.jpg
 
Sidhani kama wanawake wazungungu wanapenda kuwa hizo figa.
 
Sidhani kama wanawake wazungungu wanapenda kuwa hizo figa.

Kilichokifanya uzungumzie "Uzungu" ni nini? kama ni hiyo cartoon ina maana wazungu wana nywele za Njano?? acha kukurupuka yeye amezungumzia in General!!...
 
Sidhani kama wanawake wazungungu wanapenda kuwa hizo figa.

Nadhani anamaanisha wanawake wakijiangalia hata kama yuko ok,anajiona kanenepaeana (especially wanawake wa kizungu). Angalia expression yake.

MWANAMKE - "HII MITAKO LAZIMA NIIFANYIE MAZOEZI IISHE YOOTE, YAANI MINYAMA UZEMBEE...AGHHHH!!!:mad:"
MWANAUME- "YAANI HII FIGURE YA SWAZINIGA SINA HAJA YA MAZOEZI, CHEKI ALBS HIZO ZA KIUKWELIII".:A S wink:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom