Hizi ndizo sare za air tanzania zilizo tugharimu $49000.

wabunifu watupe details za nini hasa kimetumika kuzitengeneza na gharama zake. Utaambiwa mwisho wa siku kwamba hiyo ni bei ya Tenda ukifanya kazi na serikali
 
waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaattttt.... ni nini cha ziada hapo..? ni kipi ambacho kinazifanya ziwe hela hiyoo.. yani ni kipi..!!!?? aaah sasa huu wizi ulipofikia ni pabaya na kama wananchi wanaona hivi na tunatulia.. itafika kipindi serikali itaanzisha mpango wa kuuza hata macho yetu na tutakua tumetulia tuu... huu ni upumbafuuu
 
Hii taarifa iko hapa muda mrefu mbona, mleta mada jaribu kufanya utafiti kidogo utagundua.
 
Hii taarifa iko hapa muda mrefu mbona, mleta mada jaribu kufanya utafiti kidogo utagundua.

Hivi wewe mama mdigo unamaanisha kila mtoa mada awe anazunguka kutafuta post ipi inafanana na yake then awe anapost yake?
 
Mahesabu niliyofanya harakaharaka hapo kwa hiyo idadi ya watu haikupaswa kuzidi $1000
 
Hii taarifa iko hapa muda mrefu mbona, mleta mada jaribu kufanya utafiti kidogo utagundua.
Inaelekea hajui hata utafiti unafanyikaje msamehe bure maana angejua kuwaa hao ni wanafunzi wa chuo cha wahudumu wa ndege. Mbaya zaidi mleta mada hajawahi hata kupanda ndege za ATC hivyo hajaona wanavaaje kakurupuka kama Mwakyembe
 
Haya ACP Msangi
 
Back
Top Bottom