Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

God will make a way there seams to be no way, he walks on ways we can not see he will make a way, he will make a way (sang by Don Moen)
special dedication to Ray c!
 
asee money stunna lord eyes hakumfundishaa teriii mwana chilamilaa gari lilikuwa limesha washwa na top in dar.
 
duh kweli mpanda ngaz hutelemka, binti uyu kapalamia unga na kuwa teja? tena naskia TID ndo alimfundisha. mm yetu macho na masikio
 
Wa nyumbani Iringa huyu jamani,,, daah rehab sister utapona tu.
 
MOJA.jpg Hivi ndivyo picha zinavyoonekana kwenye gazeti, kweli inasikitisha.
 
Lord Have Mercy! jirani yangu ni drug dealer mzuriiiiiiiii, natamani kumchoma anytime! kumbe ndiyo mtu huwa hivyo!
 
asee...!sijui nitoe pole au nisemeje..ehn jmn madawa y kulevya ni hatari..ukiwa supa staa kuwa mfano mwema,tuache kuiga kila kitu..!
 
bongo watu wasahaulifu sana!!!huyu mtoto kipindi anasoma F.K alichapika sana na wazee wa umeme na tetesi kama naye kakanyaga zilivuma!huu unga ni kijisababu tu ili mdudu ndo atakuwa anamtesa sana!.....mayanki wengi wa mjini wakishaikanyaga wanaingia katika unga!..........................AIDS KILLS




I can see something,which I did not even think of...
 
dah ishu tayar kua mtu ana2mia madawa,asa si wangekamatwa na waliokua wanamuuzia na kumletea?yan hii tz bna
 
Ila mnapenda kuchafua watu sana. Sikatai anakula sembe lakini hizi picha alikuwa kalala acheni kukuza mambo

Acha kuzungumza kama mburula, kilichozungumzwa hapo si kulala bali jins alivyoharibikiwa na madawa, hizi picha zilipigwa akiwa yupo kwenye majaji akirudishwa kwao huku akiwa hajitambui

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pole yake, ila nahisi anapata mateso makubwa. Mungu ampe shufaa na nafasi ya kutubia aache uraibu huu.
 
Oh! gosh!, kama ni drugs she needs to undergo detox kwanza, not sure if she did tht already and then reharb ambayo Tz ni rahisi sana, awekee tu mtu 24/7 who'll moniter her every move and if she misses them for a long period of time and is she's detoxified she'll be clean but then they need to take one step at a time cause it seems like her system's soo stoned, if they stop the supply abruptly anaweza poteza maisha. With her case they need to cut short of drugs in her system slowly. But man!, Mungu Aliye Mkuu na Muweza wa yote Amponye, Ee Mungu Baba Saidia please!, mtanzania mwenzetu. This pics are heartwrenching, anayesema anaonekana kalala how can you sleep with eyes half shut? she's way tooo HIGH! thts not kulala!, God Help her, cant imagine how her mother feels when she sees her like this!
 
Back
Top Bottom