Hizi ndizo nyumba zinazochangia kuenea kwa UKIMWI

hahahaha mkuu hii imekufa jamaa ameokoka alichoma kreti na kupasua vyupa...lakini hivi sasa sijui jamaa kaishiwa tena naona watu wanaingia ingia pale lakini pamepooza sana kama unataka kulala lazima uwe na kitambulisho cha ndoa.

jina la bwana lihimidiwe!
 
Msisahau na majumbani kwenu kwa wale mabachela, hosteli mbali mbali za vyuo...cbe, mabibo
FB_IMG_15424774820589672.jpg
 
Aisee 2009 miaka 14 sasa ila kumbe mambo yalianza zamani
Ilo li mage liability liwe General la liwati
Sheenz
Siku moja niko na Mr wangu tumekaa sekajembetunapata kinywaji,wahudumu wakaanza kulalamika kuwa Mage kila akija hapa lazima aache kinyesi kwenye mashuka yetu safari ijayo tumzuie asiingie na mtu.

Niliogopa ikabidi tuache soda zetu kurudi msibani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom